Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Vibaby walker vimepewa heshima yake!
Gari ni gari tu na zote zinapita the same road na zaidi zote zinapata pancha
Bado najiuliza gari Kama hyo Moto ulitokea wapi?
Wengi huko harare wamehushisha tukio zima na illuminat inasemekana jamaa alikuwa illuminat pia ikumbukwe ginimbi aliwahi kufungwa jera kwa kumtoa kafara ndg yake wa damu kabisa ila baadae akitoka na ndio maisha yakaanza kumnyokeea, maisha yake ni kama movie huyo jamaa
Wengi huko harare wamehushisha tukio zima na illuminat inasemekana jamaa alikuwa illuminat pia ikumbukwe ginimbi aliwahi kufungwa jera kwa kumtoa kafara ndg yake wa damu kabisa ila baadae akitoka na ndio maisha yakaanza kumnyokeea, maisha yake ni kama movie huyo jamaa
Yaani kwenye mazishi wwo wanakunywa pombe[emoji16][emoji16][emoji16].View attachment 1626730
Nimesoma taarifa alikua anakwenda 260km/h mpaka 300km/h bara bara ya Durban au Jhb ni pana sana hata hivyo hapo hiyo Honda ilipalazwa tuu sio uso kwa uso mzee na dereva wa fit analaumiwa kwa kutohama site yake ili kumpisha huyo aliekua speed kubwa upande tofauti alipunguza mwendo tuu huyo jamaa hata ndugu zake hawashangai maana wanadai mwendo kasi ndio kitu alichokua anakiamini mno SA zipo ajali mbaya sana kila kukicha kwa sababu ya ulevi na bara bara zao pana wanajiamini mno...
Utajiri wa mapaka hauchukui muda mrefu.Inawezekana jamaa nae alikuwa ndo wale wale.
Japo hatumuhukumu ila kwa yanayoonekana inabidi tufikiri hivyo kuwa Ni Mali za ndagu.
Kwa hiyo pesa utapata 2 Kabisa mkuu😜Nna milioni 2 nawezapata moja?
Wengi mnazungumzia mfumo wa zimamoto. Ila hapo ambacho nakiona kama kosa la kiufundi ni kuweka speed kubwa halafu break balance ikawa ndogo. Ilitakiwa break system iwe kama lambogin au bugat inayoweza kustop from 300kph to 0kph within a second. Maana kama break system ingekuwa imara nadhani asingeshindwa kustop immediatelly.................................Siyo mtaalam wa pic ila kwa kuangalia hiyo ajali inaonekana walikuwa site moja ila kutokana na gari kumshinda aliipalasa hii Honda ubavuni kuanzia inapoanza mudguard ya kulia hadi kwenye bumper la mbele that's why unaona kama kifua chake kimesogea mbele kisha akazidi kupotea na kwenda kugonga mti.
Nadhani maswali yanayopaswa kuulizwa ni kuwaje gari ya million of $'s isiwekwe materials zitakazoweza kuzuia moto kiwepesi kama ilivyotokea?I meant,inajulikana wazi gari imewekwa mfumo wenye speed kubwa na kwenye speed kubwa chochote kinaweza kutokea so kwa thamani hiyo tungetegemea matokeo tofauti na ambayo tungeyaona kwenye Toyota Premio 1998 model.
Ila jamaa alikuwa kibati,maana mpaka engine iling'oka.
Ndani.Acheni masihara kama Uwimbombo na Ulindi vinawasha Moto bila dumu la petroli from no where kwanini isiwezekane kwenye injini ambayo kwenye top dead center (TDC) au clearance chamber kuna Moto wa around buku jero shahada za Celcius?
Wengi mnazungumzia mfumo wa zimamoto. Ila hapo ambacho nakiona kama kosa la kiufundi ni kuweka speed kubwa halafu break balance ikawa ndogo. Ilitakiwa break system iwe kama lambogin au bugat inayoweza kustop from 300kph to 0kph within a second. Maana kama break system ingekuwa imara nadhani asingeshindwa kustop immediatelly
Ina maana hizo hata watoto wa bakhresa wameshindwa kununua?Zipo ila nyingi ni zile za kubebea maiti
Nasikia jamaa alijinunulia jeneza