.................................Siyo mtaalam wa pic ila kwa kuangalia hiyo ajali inaonekana walikuwa site moja ila kutokana na gari kumshinda aliipalasa hii Honda ubavuni kuanzia inapoanza mudguard ya kulia hadi kwenye bumper la mbele that's why unaona kama kifua chake kimesogea mbele kisha akazidi kupotea na kwenda kugonga mti.
Nadhani maswali yanayopaswa kuulizwa ni kuwaje gari ya million of $'s isiwekwe materials zitakazoweza kuzuia moto kiwepesi kama ilivyotokea?I meant,inajulikana wazi gari imewekwa mfumo wenye speed kubwa na kwenye speed kubwa chochote kinaweza kutokea so kwa thamani hiyo tungetegemea matokeo tofauti na ambayo tungeyaona kwenye Toyota Premio 1998 model.
Ila jamaa alikuwa kibati,maana mpaka engine iling'oka.