Thank You Cocacola I am Humbled !

Hongera sana Le Mutuz.Binafsi hua situmii coke ila kuanzia sasa lazima na mimi nipate kopo langu kila siku u know...
 
Bhana we sio super star, unatembelea sir name yako. Ungekuwa cyo mtoto wa mzee kibajaji usingefika hapo unaona umefika.
 
where the f*ck is goin on with this world today?eti bonge le mutuz ni superstar....duh
 
Kumbe bado hajaoa...
 
Attachments

  • 1421161620932.jpg
    28.9 KB · Views: 426
Huyu babu mi huwa ananifurahisha kwa kweli cjui utoto eti kuandikwa jina kwenye kopo eti naye superstar hahaha lemutuzzzz kwa lipi mhhhh yaaaan haha
 
Kusema ukweli hapa coca cola wamekosea sana

Maaana huku Uingereza sio lazma uwe superstar ama celebrity kupata a can which has your name
 
Wangeweka na haka kapicha ingenoga sana.
 
Attachments

  • 1421164366001.jpg
    21.3 KB · Views: 394
Kusema ukweli hapa coca cola wamekosea sana

Maaana huku Uingereza sio lazma uwe superstar ama celebrity kupata a can which has your name

Labda kajitungia mwenyewe hii habari Le Mutuz ni mtu wa kamba nyingi.
 
Jamaa havuji sheria na ushamba wake kujiona dunia ni yake ndio maana kuna siku aliingia kwwnye mweleka apambane na big show coz misifa lakin mi hayanihusu hela si take.
 
Hili lijamaa bichwa kubwa akili hamna so kuwekwa jina lako tu kwenye kopo ya cocacola unajiona mjaanja! ! Shwain
 
Hili lijamaa bichwa kubwa akili hamna so kuwekwa jina lako tu kwenye kopo ya cocacola unajiona mjaanja! ! Shwain

Ndio mumshukuru Nyerere kukataa Malecela asiwe Rais alishaona mbali viwanja vya ikulu ndio ingekuwa venue ya Miss Tanzania.
 
Ndio mumshukuru Nyerere kukataa Malecela asiwe Rais alishaona mbali viwanja vya ikulu ndio ingekuwa venue ya Miss Tanzania.

Kweli asee ashukuriwe Nyerere daima
 
Ndio mumshukuru Nyerere kukataa Malecela asiwe Rais alishaona mbali viwanja vya ikulu ndio ingekuwa venue ya Miss Tanzania.

Hivi le mutuz ndio angekuwa anaishi ikulu dah ingekuwa ni matatizo sana
 
- Ok nawahi Mikochen mkataba mpya na AEG so relax later ngoja niwahi!1

Le Mutuz

Msando kakwambia Wewe una tatizo la kibaiolojia,unatetea unyonyaji wa coca cola ili hali Wewe sio msanii.

unazungumziaje hili swala la kupigishwa picha na makopo ya coca bila kulipwa?
 
Nime-quote haya maneno

- mUHIMU SITEMBEI UCHI sihitaji kuwa na nguo masanduku 50 sina nyumba wala pa kulala kama watu wengi hapa mjini kuna mambo muhimu kwenye haya msiha sio nguo!!

Le Mutuz

Inajibu maswali mengi sana
 
Aisee hivi juzi na jana ulilala kweli?? Maana nahisi ulikaribia kua mwehu, nayways sijui wametumia njia gani kukupa ww I wish wangeamua kufanya kautafiti kadogo ka kuwema mafridge yenye hizo soda zenye majina yenu mitaani kwenye a certain kibanda che nye majina yenu na ninyi muwepo ndani then tuone nani ataongoza kwa kuuza I bet hakuna mtu atakaekujua na kununua unless ujicompaign(na bado utakua wa mwisho) so just be gratefull umekumbukwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…