Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
- Kumbe ndio tabia zako duh!! bila kuulizwa mtumzima inaongelewa Cocacola wewe unajivua nguo mwenyewe na tabia zako duh inatisha asieee
Le Mutuz
Hahahaaaaa,aiseee!!!
:sly::sly:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
- Kumbe ndio tabia zako duh!! bila kuulizwa mtumzima inaongelewa Cocacola wewe unajivua nguo mwenyewe na tabia zako duh inatisha asieee
Le Mutuz
- Kampuni ya Cocacola hivi kuanzia leo imeanza kutoa heshima kwa all Super Stars wa Tanzania ambao wana ushawishi mkubwa katika jamii kwa kuwatengenezea makomo maalum ya Soda zao ambayo yataanza kuuzwa madukani hivi karibuni.
Ma Star wengi leo wamekabishiwa rasmi makopo hayo yenye majina yao ambayo ni mfano wa makopo ya soda zitakazoanza kuuzwa madukani hivi karibuni, baadhi ya Ma Star waliopewa makopo hayo leo ni pamoja na Mshindi wa Big Brother Idriss, Wema Sepetu, Aunt Ezekiel, Martin Kadinda na Le Mutuz Nation.
- Naomba again kuwashukuru sana wapenzi wangu wengi hasa wa hapa JF haya yasingewezekana bila ya nyinyi and I mean it nawashukuru sana from the bottom of my soul, thank you JF hasa Celebrity Forum na I am humbled sana!!
Le Mutuz
Kusema ukweli hapa coca cola wamekosea sana
Maaana huku Uingereza sio lazma uwe superstar ama celebrity kupata a can which has your name
Safi sana kwa kulifahamu hilo,na wala hujakosea. Mayweather ana sifa sana halafu bonge la mshamba. Siku moja niliamua kuangalia maisha yake,pesa anayo lakini nilichoka kwa kuona dunia ni yake peke yake na Mungu anamjua yeye tu,hawa wengine hatuna maana.
Hili lijamaa bichwa kubwa akili hamna so kuwekwa jina lako tu kwenye kopo ya cocacola unajiona mjaanja! ! Shwain
Ndio mumshukuru Nyerere kukataa Malecela asiwe Rais alishaona mbali viwanja vya ikulu ndio ingekuwa venue ya Miss Tanzania.
safi all the best
just let them dance your tune
Ndio mumshukuru Nyerere kukataa Malecela asiwe Rais alishaona mbali viwanja vya ikulu ndio ingekuwa venue ya Miss Tanzania.
Hivi le mutuz ndio angekuwa anaishi ikulu dah ingekuwa ni matatizo sana
- Ok nawahi Mikochen mkataba mpya na AEG so relax later ngoja niwahi!1
Le Mutuz
- Ok nawahi Mikochen mkataba mpya na AEG so relax later ngoja niwahi!1
Le Mutuz
- mUHIMU SITEMBEI UCHI sihitaji kuwa na nguo masanduku 50 sina nyumba wala pa kulala kama watu wengi hapa mjini kuna mambo muhimu kwenye haya msiha sio nguo!!
Le Mutuz