Thank You Cocacola I am Humbled !


Kuna muda UTU,AIBU NA HURUMA hua unazikumba hizi kampuni, just imagine wapewe masuperstar, imagine mpaka seth apewe halafu wasimpe Le mutuz si mnataka afe jamani?? Mbona hamna huruma?? Kweli si angetoa TAMKO akiwa hosp?? Coce nao wanahuruma jamani sio kwa kujikomba huko then wamuache
 
Njia ya muongo.....
 

Attachments

  • 1421260349390.jpg
    86.1 KB · Views: 413
  • 1421260382429.jpg
    55.2 KB · Views: 385
Njia ya muongo.....

Jamaa anapenda sifa z kitoto sana pia anatumia nguvu ajulikane mtu kitu ni cha bure yeye kasema kalipwa,juz limepiga picha kichochoroni n kudai nyumba y maza ni kali,ukitazama kwa macho siyo nyumba ni banda l kuku maza mwenyewe ukimwona maisha yamempiga litoto hazimtunzi kabisa kaza kujikomba kwa wanauma nyambafu kabisa
 
Hii imekaavipi wakuu, nimeona kurasa eatv kuwa kampuni ya vinywaji laini ya Coca-Cola inaleta soda zenye lebel ya majina ya watu. Ukweli wa suala hili ukoje?
 
Duh, watu bado wanakunywa soda?

Tena Coca Cola?
 

Albert msando kakuvua nguo kweupeeee
 

Attachments

  • 1421284018832.jpg
    80.1 KB · Views: 342
Mojawapo ni jina la Mmiliki wa Bongo Records "P" kule Instagram alishare picha nasi akiwa na hiyo soda.
 
alas! nawe super star kumbe lemtambiz mbona iyo ishu easy sana hata mi nikitaka natengeza jina unapenda misifa we kikongwe washkaji kibao washa tengeza bwegee mijicho ileeee
 
 

Attachments

  • 1421330327567.jpg
    27.5 KB · Views: 306
Heheheheh le mnazi kaamua kumjibu albert


Nikiripoti kutoka insta
 

Attachments

  • 1421337605603.jpg
    77.3 KB · Views: 277
Heheheh acha tu........ nimegundua nikiwa idle kiwango cha umbea kinapanda

Halafu unajua watu wazima wakiwa wanasutana inastaajabisha na kusikitisha sambamba na kuburudisha

Siku ukija kusutwa ntashindwa ingia JF bure lol

Hahahaah naripoti live from insta
 

Attachments

  • 1421338356851.jpg
    77.9 KB · Views: 247
  • 1421338391486.jpg
    98.9 KB · Views: 249
  • 1421338412800.jpg
    79.7 KB · Views: 242
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…