santa diaba
Member
- Dec 23, 2014
- 99
- 57
Over my dead body.
I wish hao Coca cola wapite hapa wakuone ulivyo mtupu kichwani hizi deal za kupeana ni shida bora hiyo nafasi angepewa Joti angesaidia kuboost market hasa kwa watoto wadogo.
Hivi kubebwabebwa huku unakobebwa wewe ndio huwa unawakejeri wenzako eti warudi Bongo kwa akili yako kabisa wewe unastahili fursa hiyo au ni kubebwa tu?
Kama wewe ni Star na Christian Bella aitwe nani? Nchi itaendelea kudumaa kwa kuendekeza hii tabia ya kubebana.
Kuna muda UTU,AIBU NA HURUMA hua unazikumba hizi kampuni, just imagine wapewe masuperstar, imagine mpaka seth apewe halafu wasimpe Le mutuz si mnataka afe jamani?? Mbona hamna huruma?? Kweli si angetoa TAMKO akiwa hosp?? Coce nao wanahuruma jamani sio kwa kujikomba huko then wamuache

