Thank You Cocacola I am Humbled !

- Cocacola wenyewe wametoa makopo kwa Mastar, lakini hata wewe unaweza kuwaomba wakakutengenezea mimi sikuwaomba ndio tofauti ya mimi na wewe sawa hahahahahahah umeumia inaonekana duh kopo tu!!

Le Mutuz
Ndo nakushangaa umeomba coca wakuandike kwenye kopo halafu unajiita star wewe sio star sema unajipendekeza kwa ma star yani kwa lugha ya kawaida we ni mdananda.........kama wadananda wengine tofauti ni kwamba wewe akili zako zipo tumboni.............
 
Yumo lakini avumi
 

Attachments

  • 1421475847635.jpg
    21.2 KB · Views: 172
  • 1421475859770.jpg
    47.7 KB · Views: 164
jinsi ulivyo na tumbo kubwa lazima utakuwa unaja mba jam ba ovyo coz tumbo lina viporo vya hata siku nne hujavifyatua, vimechacha na kuoza

sio lugha nzuri.kama unamkosoa mtu jaribu kumkosoa kwa lugha ya kiungwana
 
Overcustomization in a wrong market is always a poor marketing/selling strategy. Whoever is behind this strategy at cocacola is a poor strategist. Sales volume will reflect what am saying, just give it 2 months.
 
I hope mpaka sasa ushapata majibu...... Hii kampeni wafanye kwa wasiojielewa kama ........
 
Le mutuz? waulize wao wataandikwa lin? na coca naona majungu meeng
 
jinsi ulivyo na tumbo kubwa lazima utakuwa unaja mba jam ba ovyo coz tumbo lina viporo vya hata siku nne hujavifyatua, vimechacha na kuoza

- Msema njia lazima utakuwa na hizi tabia au familia yako ndio tabia yenu duh unajivua nguo mkuu maana umejuaje haya mambo na wewe huna? hahahahahaha

Le Mutuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…