kimpe
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 911
- 862
Ndo nakushangaa umeomba coca wakuandike kwenye kopo halafu unajiita star wewe sio star sema unajipendekeza kwa ma star yani kwa lugha ya kawaida we ni mdananda.........kama wadananda wengine tofauti ni kwamba wewe akili zako zipo tumboni.............- Cocacola wenyewe wametoa makopo kwa Mastar, lakini hata wewe unaweza kuwaomba wakakutengenezea mimi sikuwaomba ndio tofauti ya mimi na wewe sawa hahahahahahah umeumia inaonekana duh kopo tu!!
Le Mutuz