Thank You Cocacola I am Humbled !

Masupastaaa
 

Attachments

  • IMG-20150116-WA0039.jpg
    16.9 KB · Views: 390
Ni jambo la kawaida sana mkuu hakuna jipya katika hilo
 

Attachments

  • 1423148594859.jpg
    35.1 KB · Views: 323
haya majina ya watu kwenye coca yamenifanya niache kunywa kabisa coca, unakwenda dukani una hamu ya cocacola, cunakuta coca zote zina majina ya watu wanaokuhukia............!!!!!!!
 
 
Le mutuz sifa zote zimekwisha,mwanzoni alidhani kwamba coke zote zitakuwa na majina ya kwao tu,kumbe hadi sie wa minjingu wametuweka,ila watu wanaweka majina yao kwenye hati za nyumba na si kwenye makopo.
 
Dah! Hawa Coke hawa!
 

Attachments

  • 1423422056534.jpg
    34.6 KB · Views: 305
  • 1423422092939.jpg
    33.7 KB · Views: 280
Jaman ilo kopo apo ni la kuedit mbona onesha kopo real tuone ila co ilo lakuedit....

ndugu hizo sio za ku edit ni soda zenyewe mbona ni kitu cha kawaida na wala sio cha kukufanya ushangae kama umemuona yesu kwani hapo unazani kuna kipi kipya hata ww ukitaka kwa jina lako sema kesho nikuletee pakiti zima yenye soda lenye majina yote ya familia yako
 

Attachments

  • 1423478878051.jpg
    19.3 KB · Views: 287
  • 1423478891552.jpg
    35.1 KB · Views: 269

- Tofauti ni kwamba originally Cocacola ilituchagua wachache tukatengenezewa na kuletewa tulipo, maumivu yakwa kwa wanaodhani ni maarufu na hawakupewa ndio wanaolilia lia mpaka leo, ukweli ni ukweli na hadithi ni hadithi mimi ni mmoja wa waliochaguliwa na Cocacola wenyewe na kutengenezewa kopo, sio la kwenda kuwaomba na kujipanga foleni ndio tofauti yetu wanaolia lila in this thread ni wale wenye maumivu ya kutopewa na Cocacola wenyewe, hahahahahaha U know!1

Le Mutuz
 
Nina miaka 20's lakini siwezi kulilia jina langu kuonekana coca cola.
Haya mambo hufanywa na wanafunzi Wa primary na olevel hata advance level hawezi kuwa na akili fupi kama hii
 

hahahaha naunga hoja mkuu kabisa hata mm nilipigiwaa ni na cocacola ninaokona si vibaya kushare nao ila nilipeleka majina ya mke wangu na watoto wangu mm sikupenda sana
 

Mtu una miaka 53,lakini bichwa limejaa ujinga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…