William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
- Thread starter
- #161
atakuwa anapumulia kisogoni huyu
- Kumbe ndivyo wanavyokufanyia mkuu hatari basi wewe si mtoto wa kiume au? hahahahaha duh!!
Le Mutuz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
atakuwa anapumulia kisogoni huyu
Masupastaaa
- Kampuni ya Cocacola hivi kuanzia leo imeanza kutoa heshima kwa all Super Stars wa Tanzania ambao wana ushawishi mkubwa katika jamii kwa kuwatengenezea makomo maalum ya Soda zao ambayo yataanza kuuzwa madukani hivi karibuni.
Ma Star wengi leo wamekabishiwa rasmi makopo hayo yenye majina yao ambayo ni mfano wa makopo ya soda zitakazoanza kuuzwa madukani hivi karibuni, baadhi ya Ma Star waliopewa makopo hayo leo ni pamoja na Mshindi wa Big Brother Idriss, Wema Sepetu, Aunt Ezekiel, Martin Kadinda na Le Mutuz Nation.
- Naomba again kuwashukuru sana wapenzi wangu wengi hasa wa hapa JF haya yasingewezekana bila ya nyinyi and I mean it nawashukuru sana from the bottom of my soul, thank you JF hasa Celebrity Forum na I am humbled sana!!
Le Mutuz
Hii imekaavipi wakuu, nimeona kurasa eatv kuwa kampuni ya vinywaji laini ya Coca-Cola inaleta soda zenye lebel ya majina ya watu. Ukweli wa suala hili ukoje?[/QUOTE]
Ukweli wa swala hili ni jambo la kusikitisha kabisa, we fikiria uone jina lako watu wanalinywa si mazereu hayo!
Hawanywi jina, wanakunywa soda!!Ukweli wa swala hili ni jambo la kusikitisha kabisa, we fikiria uone jina lako watu wanalinywa si mazereu hayo![/SIZE]
Wewe Le Mutuz uwe unabadilisha mashati,ivi hela unapeleka wapi??
Jaman ilo kopo apo ni la kuedit mbona onesha kopo real tuone ila co ilo lakuedit....
ndugu hizo sio za ku edit ni soda zenyewe mbona ni kitu cha kawaida na wala sio cha kukufanya ushangae kama umemuona yesu kwani hapo unazani kuna kipi kipya hata ww ukitaka kwa jina lako sema kesho nikuletee pakiti zima yenye soda lenye majina yote ya familia yako
Nina miaka 20's lakini siwezi kulilia jina langu kuonekana coca cola.- Tofauti ni kwamba originally Cocacola ilituchagua wachache tukatengenezewa na kuletewa tulipo, maumivu yakwa kwa wanaodhani ni maarufu na hawakupewa ndio wanaolilia lia mpaka leo, ukweli ni ukweli na hadithi ni hadithi mimi ni mmoja wa waliochaguliwa na Cocacola wenyewe na kutengenezewa kopo, sio la kwenda kuwaomba na kujipanga foleni ndio tofauti yetu wanaolia lila in this thread ni wale wenye maumivu ya kutopewa na Cocacola wenyewe, hahahahahaha U know!1
Le Mutuz
- Tofauti ni kwamba originally Cocacola ilituchagua wachache tukatengenezewa na kuletewa tulipo, maumivu yakwa kwa wanaodhani ni maarufu na hawakupewa ndio wanaolilia lia mpaka leo, ukweli ni ukweli na hadithi ni hadithi mimi ni mmoja wa waliochaguliwa na Cocacola wenyewe na kutengenezewa kopo, sio la kwenda kuwaomba na kujipanga foleni ndio tofauti yetu wanaolia lila in this thread ni wale wenye maumivu ya kutopewa na Cocacola wenyewe, hahahahahaha U know!1
Le Mutuz
- Tofauti ni kwamba originally Cocacola ilituchagua wachache tukatengenezewa na kuletewa tulipo, maumivu yakwa kwa wanaodhani ni maarufu na hawakupewa ndio wanaolilia lia mpaka leo, ukweli ni ukweli na hadithi ni hadithi mimi ni mmoja wa waliochaguliwa na Cocacola wenyewe na kutengenezewa kopo, sio la kwenda kuwaomba na kujipanga foleni ndio tofauti yetu wanaolia lila in this thread ni wale wenye maumivu ya kutopewa na Cocacola wenyewe, hahahahahaha U know!1
Le Mutuz