Thank You People, Kwanza ilikuwa Cocacola, Now Vibe MagazineTz

Status
Not open for further replies.
Celebrity inanisaidia nini kwenye life yangu sijajua hela leo au jana niko kwenye game miaka na maisha murua,wala sihitaji kujikomba kwa m2 nipande kimaisha

- Waliopanda kimaisha huwa hawana shida na wengine huwa wanajali maisha yao maana wanakuwa busy sana na maisha yao, sasa wewe umepanda na mimi nakutesa? hahahahahahahaha kumbe huwa unajikomba kwa watu maana unajisema mwenyewe hahahahaha

Le Mutuz
 
So unaangalia uwingi wa peji. So useless. kunatofauti kubwa kati ya black person na dark person so we mazee ni dark person. Yani ua soo dark.

- Hapana wanaonilipa ndio wanaangalia page ngapi sio mimi, hahahahahahahaha

Le Mutuz
 
- Waliopanda kimaisha huwa hawana shida na wengine huwa wanajali maisha yao maana wanakuwa busy sana na maisha yao, sasa wewe umepanda na mimi nakutesa? hahahahahahahaha kumbe huwa unajikomba kwa watu maana unajisema mwenyewe hahahahaha

Le Mutuz

Wewe unamaisha gani toka umekimbia shida usa umerudi na kaptula na lile li sandoz lako mpka leo unashindwa hata na watoto maendeleo akili zako zitakua zimeganda
 
Heeeh....makubwa
 
Haki huu uzi nimecheka mpaka basi... Yani ngachoka kabisa

Hua nashindwa kuelewa, ww kimuonekano ni mtu mzima ila mambo yako na majibu yako like not matured.... Undefined nimeshindwa nikuweke kundi ga!!!
 
hivi wewe si ni mtu mzima kabisa?mbona haiba yako ya nje na ya ndani zipo low sana!
msiba huu
 
Wewe unamaisha gani toka umekimbia shida usa umerudi na kaptula na lile li sandoz lako mpka leo unashindwa hata na watoto maendeleo akili zako zitakua zimeganda

- Sijakuelewa eti nilikimbia shida USA? Ungeuliza kwanza jinsi nilivyokuwa ninaishi maisha makubwa kule mpaka wakaanza kudai ninauza unga, haha kenye hili umekosea tafuta mengine unasema watoto wadogo WOTE Tanzania wana maendeleo kuliko niliyonayo? CHILDISH!! hahahahaha

Le Mutuz
 
hivi wewe si ni mtu mzima kabisa?mbona haiba yako ya nje na ya ndani zipo low sana!
msiba huu

- Really? Haiba yako ya kutumia majina ya bandia kuulizia maisha ya watu usiowajua ikoje mkuu ipo high sana? hahahahah

Le Mutuz
 
Haki huu uzi nimecheka mpaka basi... Yani ngachoka kabisa

Hua nashindwa kuelewa, ww kimuonekano ni mtu mzima ila mambo yako na majibu yako like not matured.... Undefined nimeshindwa nikuweke kundi ga!!!

- Ok wewe ni matured umekuja mbio kumjibu unmatured? Really? hahahahahaha mnanivunja mbavu U know hivi haya maswali yanaulizwa na Great Thinkers kweli? duh hahahahahaha

Le Mutuz
 
Teh Teh humu ni vituko tupu aisee watu wana dance lemutuz music...hahaha
 
Haki huu uzi nimecheka mpaka basi... Yani ngachoka kabisa

Hua nashindwa kuelewa, ww kimuonekano ni mtu mzima ila mambo yako na majibu yako like not matured.... Undefined nimeshindwa nikuweke kundi ga!!!

- YAani wewe mtumzima unayekuja kwenye mitandao na majina ya bandia kufuatilia maisha ya watu usiowajua badala ya kujiuliza mwenyewe ujiweke kundi gani unaulizia usiowajua? duh!! hahahaha maajabu ya JF!!

Le Mutuz
 
Le Mutuz is simply irresistible!

By Free ideas

- Free Ideas kwanza kanipigia simu na matusi mengi sana and then kaanza kutuma message za matusi kwenye simu yangu, hahahahah kama hamuwezi hii mijdala wacheni mimi mbona sikasiriki? hahahahahahaa kaandika mgazeti huoo nimemjibu mgazeti kakasirika anaaanza kurusha matusi tena ya kizamani sana jamani kama hamuwezi this game wacheni, tuwachieni tunaoweza bana pole sana hahahaha

Le Mutuz
 
- Umekuja mbio kujibu akili matope wewe ni nini le mbebezzz Super mutindizzzz u know hahahahahah

Le Mutuz
Dada Neema aliwezaje kuishi miaka yote hiyo na janaume lisilo na akili kama wewe?ndo maana hata JK kakunyima ukuu wa wilaya,wenzako kina Kolimba's,Mongela's,Mzindakaya's, walipewa ukuu wa wilaya,wewe je mbulura hata uenyekiti kata huna,kazi kufurahia jina lako eti limeandikwa kwenye kopo.
 
weeh awe mkuu wa wilaya halafu after school bush zimpite? na instagram paty je nani aandae!!!.....haa haaaaa haaaa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…