Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
weeh awe mkuu wa wilaya halafu after school bush zimpite?
na instagram paty je nani aandae!!!.....haa haaaaa haaaa
After school bash:lol:
Instagram party:smile-big:
asante kwa marekebisho bwa nchuchu
Bwa'NchuchuBwa'Nchuchu:disapointed:.
Dada Neema aliwezaje kuishi miaka yote hiyo na janaume lisilo na akili kama wewe?ndo maana hata JK kakunyima ukuu wa wilaya,wenzako kina Kolimba's,Mongela's,Mzindakaya's, walipewa ukuu wa wilaya,wewe je mbulura hata uenyekiti kata huna,kazi kufurahia jina lako eti limeandikwa kwenye kopo.
naskia le mutuz jogoo wako hawiki ndo maana sinta kakukimbia. Hahahaha am humbled
weeh awe mkuu wa wilaya halafu after school bush zimpite? na instagram paty je nani aandae!!!.....haa haaaaa haaaa
weeh awe mkuu wa wilaya halafu after school bush zimpite? na instagram paty je nani aandae!!!.....haa haaaaa haaaa
- Masikini wa Mungu mngeujua viziri Ukuu wa Wilaya wala msingeulilia kweli usilolijua ni kama usiku wa giza so unaamini Ukuu wa Wilaya ni baab kubwa sana, hahahahahaha
Le Mutuz
- Ungemuuliza sasa hivi yupo na nani toka niondoke hahaha inaelekea unamjua sana sirudi huko tena, hahahaha hao uliowataja wote wanashinda hapa ofisini kwangu hivi kweli ulitegemea mimi niende kuwa Mkuu wa Wilaya ya Karagwe yaani nihamie Karagwe? hahahahahahahaa Are U kidding me or what unajua mshahara wa DC au unakurupuka tu kama kichaa, pole sana!! hahahaha
Le Mutuz
Hapa inamaanisha ungekataa uteuzi wa muheshiwa Rais?
Kwa kumbukumbu zangu mwenye jeuri hiyo ni Jenerali Ulimwengu tu.
si ndio maana mi nmebisha we wala huna haja na ukuu wa wilaya....we ni king of all social network...you know..haa haaaaa
ngumbaru tupo le mazafanta...ww tu ndio king mwenye degree 3- hahahahaha duh!! kumbe kuna ngumbaru humu mnaaanza kujivua nguo wenyewe kuwa kichwani zero duh!! hahaha
Le Mutuz
ngumbaru tupo le mazafanta...ww tu ndio king mwenye degree 3
- Haya nakupenda mpaka NAUMWA baby love U more!!
Le Mutuz