Thank You People, Kwanza ilikuwa Cocacola, Now Vibe MagazineTz

Status
Not open for further replies.
- Matola you know better kweli mimi level ya DC? please

Le Mutuz



Kama angekupigia simu nakukwambia anakuteuwa Kinondoni ningeunga mkono lakini kuwa Dc mashambani huko uache line za mujini zinapeperuka hiyo big no.

Madc ni kijiwe cha majobless, inashangaza mtu amestaafu kazi badala ya kula pensheni naye anaenda kusotea mshahara wa $1500.

Kama kuna kosa JK amelifanya au Pinda ni kumpa wilaya ya Kinondoni mshamba wakati wilaya ile inatakiwa iwe chini ya mtoto wa mjini.
 
Kiboko ya huyu pumbavu ni msando bikira na mati
 

Name calling hairuhusiwi Invisible Moderator robot Paw PainKiller fanyeni kazi yenu muwe fair
 
Last edited by a moderator:
Le mutuz jogoo hawiki mpaka apigwe midole kwanza
 
Lemutu kiukweli kwenye social media hupendwi kabisaaa, sielewi why unajiita King, ufundishi wala uelimishi jamii, kazi kuposti picha za watoto
 

We una matatizo ndugu!.code +467 sio code ya nchi yoyote ulaya!,pole sana mzee wangu endelea na mambo yako huwezi kunifahamu mimi,ule ni ushauri tu nilikupa sio lazima uzingatie.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…