Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
- Matola you know better kweli mimi level ya DC? please
Le Mutuz
Kama angekupigia simu nakukwambia anakuteuwa Kinondoni ningeunga mkono lakini kuwa Dc mashambani huko uache line za mujini zinapeperuka hiyo big no.
Madc ni kijiwe cha majobless, inashangaza mtu amestaafu kazi badala ya kula pensheni naye anaenda kusotea mshahara wa $1500.
Kama kuna kosa JK amelifanya au Pinda ni kumpa wilaya ya Kinondoni mshamba wakati wilaya ile inatakiwa iwe chini ya mtoto wa mjini.