eti awe celebrity, kwa kupiga picha na wasichana wenye umri wa mwanao, au kuwa celebrity kwenda kwenye show za wanafunzi school bash, unatia aibu jamaa yangu, sidhani mzee wako ambae watu na jamii inamuheshimu ikiwa anafurahia,- Mimi sikutafuta nililetewa ila wewe unatakiwa kulitafuta maana sio Celebrity kama mimi au hujaelewa bado? hahahahaha
Le Mutuz
- kutokea kwenye gazeti kubwa kama vibe ni kitu kikubwa sana labda wewe huwa unatokea kila siku ndio maana sio ishu kwako, hahahahahaha
le mutuz
eti awe celebrity, kwa kupiga picha na wasichana wenye umri wa mwanao, au kuwa celebrity kwenda kwenye show za wanafunzi school bash, unatia aibu jamaa yangu, sidhani mzee wako ambae watu na jamii inamuheshimu ikiwa anafurahia,
......
View attachment 229253
View attachment 229254
- Jamani ndugu zangu heshima mbele sana ni heshima kubwa sana kwa mimi Mwana-JF mwenzenu kukubalika sana na jamii lets all celebrate that, kwanza ilikuwa kampuni ya Cocacola walinitengenezea kopo sasa Gazeti maarufu la kisasa katika jamii yetu limenipa heshima ya kuwa kwenye Cover Magazine yake toleo la February/2015.
Ndani yake kuna historia nzima ya maisha yangu mpaka kufikia hapa nilipo ni kitu wanasema wanafanya na watu wenye influence kubwa na jamii tu, kwa kweli I am humbled sana so jamani msikose nakala ya Mwana JF mwenzenu si unajua mcheza kwao hutunzwa!
- Si unajua always kwamba umaarufu wangu na jamii ulianzia hapa hapa Jamiiforums, so please join me to celebrate this I mean the reward from the Society we live in, kwamba wanakubali kuwa nina influence kubwa sana na Jamii.
Le Mutuz..
- Saikolojia na kwa kawaida Topic ikiwa VibemagazineTz ukaleta mambo ya kwashakoo ina maana unayo, maana mtumzima mwenye akili timamu hawezi kuongelea kwashakoo kwenye topic ya VibemagazineTZ unless ana kwashakoo, hahahahaha
Le Mutuz
Kweli wewe kopo tupuz...swala la kwashakoo ni mfano wa majibu yako ya kitoto.Taja umewahi kutolewa kwenye cover la magazine gani zaidi ya hiyo.Kama kwa akili iyo ndio una degree tatu basi Nakufwa for you kabisa bila hiyana
Salute kwako kaka, sasa hivi nimeelewa unachofanya.
kazi nzuri. Natamani siku moja nitembelee ofisini kwako na kujifunza zaidi.
Anatia aibusana na na anamtiisha aibu mzee wake yaani utafikiri yuko kindergarten maana anayoyafanya ni ya watoto wa nursery school yaani anashangaza sana huyu
eti awe celebrity, kwa kupiga picha na wasichana wenye umri wa mwanao, au kuwa celebrity kwenda kwenye show za wanafunzi school bash, unatia aibu jamaa yangu, sidhani mzee wako ambae watu na jamii inamuheshimu ikiwa anafurahia,
......
- Celebrity mwenye influence na jamiii ndio maana nikapewa Cover ya Vibe wewe umewahi kupewa gazeti gani mkuu sana?
Le Mutuz
We jamaa utakua na akili pungufu za kitaahira maana kwa umri wako na unayoyafanya unatia kinyaa....
Au ile michezo unayofanyiwa imeharibu akili zako? upo Kama Mtambo hivi.... Pathetic!!!!
- Yale yale topic ya Vibemagazine wewe unaleta mambo unayofanyiwa hahahahaha kwa nini hamuwezi kuficha tabia zenu za huko mnavyofanyiwa mpaka uje ujiseme mwenyewe hapa duh hahahahahahahaha
Le Mutuz
Na unavyotisha sasa ha ha ha watu wabaya kweli wao hawajali the way ulivyo wanajifanyia yao tuu....
MTU mzima with 50s unaona kawaida kujisema hadharani eti rafiki Wa Lulu poor you!!!
Nawaonea huruma watoto uliowakimbia USA jinsi wanavyodhalilika kwa tabia zako...
Kweli nimeamini kuwa wewe mtu wa mitandaoni sijui unapumzika saa ngapi na sijui unafanya mambo yako saa ngapi na sijui kama unapata wasaa wa kumtafakari mungu maana umelowea
Hahahaaa, dah yaani hapa barabarani nacheka kama chizi!
- Well, huwa sikujibu maana huna anything productive so sitakujibu tena nawajibu wenye hoja productive, kazana na wewe unaweza kuwekwa kwenye hilo gazeti one day wakifungua gazeti la matusi pole sana hahahahah I am too civilized for you!!
Le Mutuz
Salute kwako kaka, sasa hivi nimeelewa unachofanya.
kazi nzuri. Natamani siku moja nitembelee ofisini kwako na kujifunza zaidi.