Thank You People, Kwanza ilikuwa Cocacola, Now Vibe MagazineTz

Thank You People, Kwanza ilikuwa Cocacola, Now Vibe MagazineTz

Status
Not open for further replies.
- Mimi sikutafuta nililetewa ila wewe unatakiwa kulitafuta maana sio Celebrity kama mimi au hujaelewa bado? hahahahaha

Le Mutuz
eti awe celebrity, kwa kupiga picha na wasichana wenye umri wa mwanao, au kuwa celebrity kwenda kwenye show za wanafunzi school bash, unatia aibu jamaa yangu, sidhani mzee wako ambae watu na jamii inamuheshimu ikiwa anafurahia,
......
 
Jamani labda ndo masharti aliyopewa na mganga wake kuwa anafanya vitu vya kitoto toto
 
Kweli nimeamini kuwa wewe mtu wa mitandaoni sijui unapumzika saa ngapi na sijui unafanya mambo yako saa ngapi na sijui kama unapata wasaa wa kumtafakari mungu maana umelowea
- kutokea kwenye gazeti kubwa kama vibe ni kitu kikubwa sana labda wewe huwa unatokea kila siku ndio maana sio ishu kwako, hahahahahaha

le mutuz
 
Anatia aibusana na na anamtiisha aibu mzee wake yaani utafikiri yuko kindergarten maana anayoyafanya ni ya watoto wa nursery school yaani anashangaza sana huyu
eti awe celebrity, kwa kupiga picha na wasichana wenye umri wa mwanao, au kuwa celebrity kwenda kwenye show za wanafunzi school bash, unatia aibu jamaa yangu, sidhani mzee wako ambae watu na jamii inamuheshimu ikiwa anafurahia,
......
 
View attachment 229253
View attachment 229254

- Jamani ndugu zangu heshima mbele sana ni heshima kubwa sana kwa mimi Mwana-JF mwenzenu kukubalika sana na jamii lets all celebrate that, kwanza ilikuwa kampuni ya Cocacola walinitengenezea kopo sasa Gazeti maarufu la kisasa katika jamii yetu limenipa heshima ya kuwa kwenye Cover Magazine yake toleo la February/2015.

Ndani yake kuna historia nzima ya maisha yangu mpaka kufikia hapa nilipo ni kitu wanasema wanafanya na watu wenye influence kubwa na jamii tu, kwa kweli I am humbled sana so jamani msikose nakala ya Mwana JF mwenzenu si unajua mcheza kwao hutunzwa!

- Si unajua always kwamba umaarufu wangu na jamii ulianzia hapa hapa Jamiiforums, so please join me to celebrate this I mean the reward from the Society we live in, kwamba wanakubali kuwa nina influence kubwa sana na Jamii.

Le Mutuz..

Nilikuuliza swali hukujibu

Hivi W. J. Malecela unatamani mtoto wako aje kuwa kama wewe??
 
Last edited by a moderator:
Salute kwako kaka, sasa hivi nimeelewa unachofanya.
kazi nzuri. Natamani siku moja nitembelee ofisini kwako na kujifunza zaidi.
 
- Saikolojia na kwa kawaida Topic ikiwa VibemagazineTz ukaleta mambo ya kwashakoo ina maana unayo, maana mtumzima mwenye akili timamu hawezi kuongelea kwashakoo kwenye topic ya VibemagazineTZ unless ana kwashakoo, hahahahaha

Le Mutuz

Kweli wewe kopo tupuz...swala la kwashakoo ni mfano wa majibu yako ya kitoto.Taja umewahi kutolewa kwenye cover la magazine gani zaidi ya hiyo.Kama kwa akili iyo ndio una degree tatu basi Nakufwa for you kabisa bila hiyana
 
Nilikuuliza swali hukujibu

Hivi W. J. Malecela unatamani mtoto wako aje kuwa kama wewe??

- Infact namtafutia mali yeye unajua sisi Christians tunaambiwa na Mungu kwenye bible kwamba "Baba mwenye busara huwaachia urithi watoto wake" so far nikifa leo nitamuachia urithi nilioupata kwa sababu ya kuwa Celebrity, au unasema ninakosea?

Le Mutuz
 
Kweli wewe kopo tupuz...swala la kwashakoo ni mfano wa majibu yako ya kitoto.Taja umewahi kutolewa kwenye cover la magazine gani zaidi ya hiyo.Kama kwa akili iyo ndio una degree tatu basi Nakufwa for you kabisa bila hiyana

- I am too big of a Celebirty ndio maana nimekuambua nikupe namba ya simu ya msaidizi wangu akutajie hayo magazeti niliyokwisha kuwa on the Cover Magazine pamoja na ya Udaku, I mean in the last 3 weeks nilikuwa almost kila TV na RAdio za hapa mjini live au huwa husikilizi, sasa unafikiri huu umaarufu umetokea wapi bila kuwepo kwenye media? Ila chanzo chake ni hapa JF

Le Mutuz
 
Salute kwako kaka, sasa hivi nimeelewa unachofanya.
kazi nzuri. Natamani siku moja nitembelee ofisini kwako na kujifunza zaidi.

- Karibu sana mkuu, ukitaka mambo ya Marine Engineering, Criminology & Police au Political Science maana Degree zangu 3 ni kwenye hayo mambo na pia Media au unauza nyumba, kiwanja gari anything kinachoziidi Millioni 10, karibu sana!!

Le Mutuz
 
Anatia aibusana na na anamtiisha aibu mzee wake yaani utafikiri yuko kindergarten maana anayoyafanya ni ya watoto wa nursery school yaani anashangaza sana huyu

- Yaani unasema baba yangu anapotokea kwenye magazeti ananitia aibu? duh kweli Chuki bila akili ni kama mzoga wa fisi!! hahahahaha

Le Mutuz
 
eti awe celebrity, kwa kupiga picha na wasichana wenye umri wa mwanao, au kuwa celebrity kwenda kwenye show za wanafunzi school bash, unatia aibu jamaa yangu, sidhani mzee wako ambae watu na jamii inamuheshimu ikiwa anafurahia,
......

- Celebrity mwenye influence na jamiii ndio maana nikapewa Cover ya Vibe wewe umewahi kupewa gazeti gani mkuu sana?, Tanzania Daima lile la Bilicanas? hahahaha

Le Mutuz
 
- Celebrity mwenye influence na jamiii ndio maana nikapewa Cover ya Vibe wewe umewahi kupewa gazeti gani mkuu sana?

Le Mutuz

We jamaa utakua na akili pungufu za kitaahira maana kwa umri wako na unayoyafanya unatia kinyaa....

Au ile michezo unayofanyiwa imeharibu akili zako? upo Kama Mtambo hivi.... Pathetic!!!!
 
We jamaa utakua na akili pungufu za kitaahira maana kwa umri wako na unayoyafanya unatia kinyaa....

Au ile michezo unayofanyiwa imeharibu akili zako? upo Kama Mtambo hivi.... Pathetic!!!!

- Yale yale topic ya Vibemagazine wewe unaleta mambo unayofanyiwa hahahahaha kwa nini hamuwezi kuficha tabia zenu za huko mnavyofanyiwa mpaka uje ujiseme mwenyewe hapa duh hahahahahahahaha

Na unavyotisha sasa ha ha ha watu wabaya kweli wao hawajali the way ulivyo wanajifanyia yao tuu....

MTU mzima with 50s unaona kawaida kujisema hadharani eti rafiki Wa Lulu poor you!!!

Nawaonea huruma watoto uliowakimbia USA jinsi wanavyodhalilika kwa tabia zako...
 
- Well, huwa sikujibu maana huna anything productive so sitakujibu tena nawajibu wenye hoja productive, kazana na wewe unaweza kuwekwa kwenye hilo gazeti one day wakifungua gazeti la matusi pole sana hahahahah I am too civilized for you!!

Le Mutuz
 
Kweli nimeamini kuwa wewe mtu wa mitandaoni sijui unapumzika saa ngapi na sijui unafanya mambo yako saa ngapi na sijui kama unapata wasaa wa kumtafakari mungu maana umelowea

- I make my money from Social Media na Bandarini, so this is my home no matter what as long it is a Social Media unacheza my tunes

Le Mutuz
 
- Well, huwa sikujibu maana huna anything productive so sitakujibu tena nawajibu wenye hoja productive, kazana na wewe unaweza kuwekwa kwenye hilo gazeti one day wakifungua gazeti la matusi pole sana hahahahah I am too civilized for you!!

Le Mutuz

Ha ha ha ha! Hao wengine hawakupi madongo yanayokuuma ndio maana unaona productive...

Kuwa mwanaume kamili...kuwa baba kamili umepewa jinsia ya kiume itendee haki sio kuchezewa hovyo tena na watoto!!!

Sitoacha kukupa makavu kunguru mweupe wewe mpaka upate akili...

Eti nikazane niwekwe kwenye vibe ili iweje? Nipate nini labda? Yaani tutusa Kama wewe unakimbilia kufurahia nonsense hivi? Uliwekwa kwenye kopo then umepata nini? Mbona hukuwekwa peke yako?

Hilo vibe magazine wanasoma wangapi? Kubwa zima hovyoo mtumbo na mbichwa mkubwaa umejaza usaha tu....
 
Salute kwako kaka, sasa hivi nimeelewa unachofanya.
kazi nzuri. Natamani siku moja nitembelee ofisini kwako na kujifunza zaidi
.

- Karibu sana mkuu ofisi yangu ipo downtown bongo Tancot House 2nd floor, anytime unakaribishwa mamen hapa ni kazi tu!! NA KABLA HUJAJA halla at +255 717 618 997 kama nipo ila hapa kila mtu anakaribishwa as long as ni business!!

Le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom