Thanks God for Giving us Kikwete

Thanks God for Giving us Kikwete

kama unashinda mtandaoni kuandika upuuzi, unafuu wa maisha utapatikana wapi? halafu unajiita Ukombozi wa Fikra. acha kutumika kijana. umri wako bado ni mdogo. wewe unashinda humu kuandika yasiyo na tija kwa taifa kwa ujira wa shilingi 2000 kwa siku, wenzako wanatumia milioni 700 kuandaa mkutano wa kifedhuli pale Jangwani

wewe uko wapi? Ungejuaje kuwa nashinda mtandaoni kama na wewe hushindi,unafikiri kidogo! Ccm mmejaa wajinga wajinga tu kama wewe
 
Acha ulevi wa buku 7,kwani maisha ni Jk? Huyu ndio anatufanya tuishi maisha magumu kwa kukumbatia mafisadi,wauza sembe,majangili nk

huoni hataaibu unaazisha mada halafu unaanza kujijibu na kuchangia kwa id zako zingine sijui hamnazo.
 
CCM ni chama cha ajabu sana...na kina watu wajinga sijawahi kuona...angalia vijana wao kwenye mtandao...wanashidwa kujibu hoja...wanaongea vitu ambavyo havipo...NI UJINGA MKUBWA...MNAABISHA CHAMA...KINAONEKANA HAKINA WATU MAKINI...NINGEKUWA NAPE NINGEWAPIGA MARUFUKU....KUKITETEA CHAMA KWENYE MITANDAO kwa mtindo huo wa KIJINGA kabisa
Nitajie watu makini watatu wa chadema kama utawapata make slaa kashifa kibao,mbowe ndiyo,Lisu mmbea na mnafiki sijui utamtaja nani.
 
CCM ni chama cha ajabu sana...na kina watu wajinga sijawahi kuona...angalia vijana wao kwenye mtandao...wanashidwa kujibu hoja...wanaongea vitu ambavyo havipo...NI UJINGA MKUBWA...MNAABISHA CHAMA...KINAONEKANA HAKINA WATU MAKINI...NINGEKUWA NAPE NINGEWAPIGA MARUFUKU....KUKITETEA CHAMA KWENYE MITANDAO kwa mtindo huo wa KIJINGA kabisa

chadema ni chama cha walaghai na wazandiki wanatumia chama kwa manufaa yao na familia zao.
 
sasa mmeanza kuungana na yule askofu KILAINI amiyesema kuwa JK ni chaguo la Mungu. wakati ule mlimshambulia sana mpaka mkasababisha aondolewe DAR ES SALAAM na kupelekwa Kagera ambako pia amenyimwa uhuru wa kuongea

soma uelewe kilaza wewe,kusudi sio kumweka Jk madarakani ili alete maendeleo,bali kuwafungua watz kupitia udhaifu wake ili tz ikombolewe kutoka kwa mkoloni mweusi ccm
 
Acha ulevi wa buku 7,kwani maisha ni Jk? Huyu ndio anatufanya tuishi maisha magumu kwa kukumbatia mafisadi,wauza sembe,majangili nk
Cheki unavyojigonga kwani jk alikuzaa au unataka akuletee kiroba cha unga nyumbani kwenu mkiambiwa fuateni uzazi wa mpango hamtaki utaiva tu.
 
CCM ni chama cha ajabu sana...na kina watu wajinga sijawahi kuona...angalia vijana wao kwenye mtandao...wanashidwa kujibu hoja...wanaongea vitu ambavyo havipo...NI UJINGA MKUBWA...MNAABISHA CHAMA...KINAONEKANA HAKINA WATU MAKINI...NINGEKUWA NAPE NINGEWAPIGA MARUFUKU....KUKITETEA CHAMA KWENYE MITANDAO kwa mtindo huo wa KIJINGA kabisa

ningekuona wa maana kama ungemkanya huyo mburula mwenzako ambaye anaanzisha mada ambayo haina mwelekeo
 
Cheki unavyojigonga kwani jk alikuzaa au unataka akuletee kiroba cha unga nyumbani kwenu mkiambiwa fuateni uzazi wa mpango hamtaki utaiva tu.

acha zako wewe, naona unawza kiroba tu mpuuzi wewe,nani alikuambia kuwa jK ni mzazi? Kafie zako mbali na utumwa wa buku 7 za Lumumba
 
Hakika Jk tutakukumbuka kwa mengi
Sio siri Raisi Jakaya Kikwete ambae anatarajia kumaliza kipindi chake cha uongozi wa nchi yetu mwaka 2015 ana kila sababu ya kukumbukwa kwa yafuatayo:
.ujenzi wa daraja la kigamboni
.ujenzi wa chuo kikuu dodoma
.ujenzi wa barabara zenye kiwango cha lami
.ukuaji wa demokrasia nchini
.ujenzi wa Bomba la Gesi toka Mtwara hadi Dar
Bravo Jk mungu akubariki
 
Kafanya makubwa sana katika kipindi cha miaka nane pekee ya uongozi wake.
1. Barabara alizofanikiwa kutengeneza ni zaidi ya maraisi wote watatu waliotangulia.
2. Shule nyingi za secondary amejenga na kiwango cha udahiri wa wanafunzi wanaongia sekondari na mavyuoni ni idadi kubwa sana kila mwaka.
3. Zahanati karibu kila kijiji inapatikana kwa sasa Tanzania nzima. 4. Uhuru wa vyombo vya habari uliopitiliza katoa mpaka wengine wanavuka mipaka.
5. Katiba mpya karuhusu watanzania tutengeneze na sasa tupo mwishoni kuikamilisha.
6. Tatizo la maji nalo pia amelisimamia kwa kiwango cha kuridhisha n.k utaongeza na mengine.
Swali kwa watanzania na hasa wanajamii forum tulitegemea nini na tumekosa nini kutoka kwa mh raisi mpaka wengine kumkosea heshima na kumdharau?

Raisi wetu aliingia kwa kauli mbiu yake ya Nguvu mpya, kasi mpya na Ari mpya nadhani watanzania walikuwa na matarajio kuona shida zao zote zinamalizwa na jk kwa maneno hayo aliyotamka huku wakiwa wamekaa tu. Tusiwe kama kuku akila akishafuta mdomo anasahau kama kala. 'Nikiondoka mtanikumbuka' Jm Kikwete.
 
soma uelewe kilaza wewe,kusudi sio kumweka Jk madarakani ili alete maendeleo,bali kuwafungua watz kupitia udhaifu wake ili tz ikombolewe kutoka kwa mkoloni mweusi ccm

mkuu kilaza ni wewe unayelala huku unamuota jk wakiti familia yako na wazazi waliokuzaa wanakutegemea wewe usiku na mchana unamuwaza jk tu.
 
he Best of Kikwete:
Katika kipindi cha Kikwete masuala yafuatayo lazima tumpe Credit kwani baadhi yamefanywa na JK wa mwanzo tu na hayakufanywa na Mwinyi wala Mkapa.

1. Ujenzi wa Sekondari za Kata ni maamuzi sahihi ingawa yana changamoto zake zinazoweza kutatuliwa na watakaomfuatia, lakini hapa JK ametumia madaraka yake vizuri

2. Ameendelea na uendelezaji wa Miradi ya Barabara, suala lililoanza kujitokea wakati wa awamu ya 3, JK ameendelea nalo suala hilo kwa kasi kubwa na kwa kipindi chote

3. Daraja Kigamboni, Malagarasi na Kilombero ni miongoni mwa mambo yatakayokumbukwa forever

4. Ongezeko la Taasisi za Elimu ya Juu limefanyika vizuri sana katika awamu ya Kikwete, mbali na UDOM lakini taasisi na vyuo vingi vimeimarishwa, kupandishwa hadhi na vyuo vingi binafsi vimeanziswa. Kwa sasa Taifa haliko tena na dhana ya UDII, Mzumbe na SUA. Aidha ari na moyo wa watanzania kulipia huduma za elimu umeongezeka.

5. Kumekuwa na ongezeko kubwa la ajira ukilinganisha na awamu mbili zilizomtangulia. Mkapa aliendesha Serikali nyembamba, suala ambalo ni zuri lakini lina changamoto zake kwa wale waliokuwepo wameliona hata akapewa sifa ya mzee wa "ukapa"

6. Mradi wa Bomba la Gesi kutoka Mtwara kwa lengo la kutatua kero ya Umeme ni hatua nzuri ambayo haijawahi kufanywa katika awamu ya 2 na ya Tatu (Vyanzo vya Nishati)

7. Mradi wa Ujenzi wa Kiwanda cha Chuma (Kule Liganga?) ambao maandalizi ya ujenzi wake yamekamilika ni hatua nzuri ili kuvutia au kuanzisha uwekezaji wa zana za Chuma pamoja na Viwanda vikubwa.

8. Hatua ya Kujenga Bandari mpya eneo la Bagamoyo yenye hadhi ya 4th Generation ni tukio litakalokumbukwa na vizazi Dahri vijavyo.

9. Hatua ya Utekelezaji wa mradi wa DRT ambao ulikuwepo miaka mingi pia ni miongoni mwa mazuri yaliyotendeka katika awamu ya JK

10. Zoezi la kutambua na kuwarudisha kwao wahamiaji haramu pia ni zoezi zuri ambalo bila shaka halijawahi kufanywa katika uongozi wa awamu nyinginezo kwa kiwango na utashi wa namna hiyo

11. Kitendo cha utekelezaji wa mradi wa vitambulisho vya Taifa ni credit kubwa kwa JK ambao hakuna sababu za wazi kwanini nchi imekaa miaka 50 pasipo na vitambulisho vya uraia kwa wakazi wake na raia wake

12. Ameendelea kuiweka Tanzania kwenye mahusiano mazuri kimataifa hususan SADC, UN na nyanja nyingine za Kitaifa. Ukiacha EAC ambayo sababu za kuzorota kwake ziko wazi, lakini maeneo mengine ame-play well ok
 
maendeleo yapi? Kama ni maendleo ya wauza sembe,wezi,mafisadi,majangili kama kinana,wala rushwa hapo nakuunga mkono mkuu


Bila KJ haya ungeyajua? tunamshukuru MUNGU kutuleta Kikwete ili nchi ipate ukombozi kutoka kupe CCM waliokula nchi hii miaka 50. saa ya maajabu inakuja.
 
1)Katiba mpya: Mwalimu Nyerere hadi anaondoka duniani hakuwa na mpango wa katiba.
2)Utulivu wa kisiasa kati ya CCM na CUF huko Zanzibar. Mh Mkapa alishindwa
3)Maendeleo ya Mikoa ya Pwani: tawala nyingi zilizopita Mikoa ya Pwani waliiweka pembeni na walielekeza mikoa kama Arusha na Moshi. Lk jk amefanikiwa.
4)Utitiri wa Vyombo vya habari
 
Back
Top Bottom