Thanks to Dating Apps, leo kutongoza imekua kazi rahisi sana, madomo zege mpewe nini zaidi?

Thanks to Dating Apps, leo kutongoza imekua kazi rahisi sana, madomo zege mpewe nini zaidi?

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,017
Reaction score
19,506
Miaka ya nyuma kutongoza was an art, na ilikua lazima uimudu hiyo sanaa uweze kupata ama kula watoto wazuri. Ilikua ni lazima uwe mtu wa maneno na vitendo.

Miaka ya nyuma ukiwa domo zege wanawake utaishia kuwaona sokoni, madomo zege wengi waliishia kwenye punyeto maana hawakua na namna nyingine.

Leo hii baada ya kuja Dating Apps, dating sites ambao zinaleta watoto wazuri mikononi mwako, kazi yako ni kuwaita tu, ni kama unaita uber, uko wapi, njoo huku, akisema ana request nyingine unacancel unaita mwingine, ukiona uber iko na bei kubwa unahamia taxify, what a hell of it?

Madomo zege mpewe nini? Leo hii kwa ujio wa dating apps bado watu wanapiga punyeto kweli? Hivi watu mpewe nini? Kuna Tinder(my favourite), Tantan(vikuku vya kienyeji,single mamas), Tagged, meet me, Hitwe(mnaopenda majimama makubwa ya kiswahili), badoo(makahaba, mashoga), lovoo, na kadhalika na kadhalika. Nainapatikana nchini kote, watu mnataka nini?

Teknolojia hairahisishi maisha tu, mambo mengine teknolojia inatutafunia, kazi ni kumeza tu.
 
kheee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo na wewe ni miongoni mwa madomo zege
Mimi sio domo zege ila nimeshavuka umri wa kutongoza na kuongea ongea maneno mengi. Niwaze kutafta hela niwaze na kutongoza pia? Haiwezekani.

Mimi siku hizi mambo ya kutongoza mwanamke miezi kadhaa, wiki kadhaa sihitaji kabisa, ikizidi sana iwe wiki kwa sababu ya kua amebanwa na mambo.
 
Back
Top Bottom