Thanks to Dating Apps, leo kutongoza imekua kazi rahisi sana, madomo zege mpewe nini zaidi?

Kwani kuna mahala Duniani hapa huduma iliwahi kupatikana bure? Wapi?

Hakuna mwanamke amewahi kutoa uchi wake bure toka Dunia imeumbwa.

Zipo,nyingi tu sema naona uvivu kuandika nyingi
Huduma ya kupima HIV ni bure kwa baadhi ya hospital
Huduma ya chanjo za watoto kwa baadhi ya hospital ni bure
Kuna sehemu wanaonesha mpira bure kabisa huku mtaani kwetu

Wewe kama unapata wanawake wanaokuuzia uchi hilo ni tatizo lako...sisi huku tulipewa uchi bure na tunautoa bure
 
Kama dating zenyewe ni kama unaita uber ikifuate ulipo means huduma inatolewa kwa yoyote,ni wewe na pesa yako tu

Msisahau kutumia condom​
Message sent [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] hakuna usalama
 
Zipo,nyingi tu sema naona uvivu kuandika nyingi
Huduma ya kupima HIV ni bure kwa baadhi ya hospital
Huduma ya chanjo za watoto kwa baadhi ya hospital ni bure
Kuna sehemu wanaonesha mpira bure kabisa huku mtaani kwetu

Wewe kama unapata wanawake wanaokuuzia uchi hilo ni tatizo lako...sisi huku tulipewa uchi bure na tunautoa bure
Wapi wanaonesha mpira bure nihamie!?maana leo mechi ya simba nimeangalia kwa buku
 
Zipo,nyingi tu sema naona uvivu kuandika nyingi
Huduma ya kupima HIV ni bure kwa baadhi ya hospital
Huduma ya chanjo za watoto kwa baadhi ya hospital ni bure
Kuna sehemu wanaonesha mpira bure kabisa huku mtaani kwetu

Wewe kama unapata wanawake wanaokuuzia uchi hilo ni tatizo lako...sisi huku tulipewa uchi bure na tunautoa bure
Wewe dada we mbona unauchokozi wa hali ya juu hivi wakati Mambo kwa ground ni tofauti
 
Zipo,nyingi tu sema naona uvivu kuandika nyingi
Huduma ya kupima HIV ni bure kwa baadhi ya hospital
Huduma ya chanjo za watoto kwa baadhi ya hospital ni bure
Kuna sehemu wanaonesha mpira bure kabisa huku mtaani kwetu

Wewe kama unapata wanawake wanaokuuzia uchi hilo ni tatizo lako...sisi huku tulipewa uchi bure na tunautoa bure
HIV ni bure kwa wewe unaepimwa ila Marekani walishalipa hizo gharama, huduma zote za ukimwi na vipimo vyake Marekani na Global Fund walishalipa.

Huduma zote za chanjo ya watoto kuna eidha serikali imelipia ama wafadhili.

Hapa Duniani hakuna kitu cha bure. Ukiona umepewa bure basi ujue kuna mtu kagharamia mahala, eti bure.
 
Huko Marekani umenifikisha wewe

Naangalia mimi kwa upande wangu naenda hospital napima HIV bure!!!
 
Back
Top Bottom