Gaga
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 4,558
- 1,970
- Thread starter
-
- #121
Kweli kabisa mkuu, kwa upande wangu niligundua nampenda huyu kijana baada ya yeye kuhama, kwa kweli usingizi ulikuwa wa nadra, mawazo, mpaka nikatamani niandike tangazo gazetini lol.......nilipomuona niliruka na mimi ndio nilimkimbilia nikamkumbatia yaani mambo niliyofanya hao ni kama nilikuwa namwambia ndio nimekukubali kwa vitendoAsante kwa hadith nzuri, inapendeza. Hapo penye rangi nyekundu na maandishi makubwa ndio pamenigusa zaidi. Watu wengi hukumbwa na hilo, mfano mtu anaweza kumuacha mkewe ama mumewe kwa vishawishi au kwa kutomuona kuwa hapendezi. Kisha baadae aliyeachwa akipata mwengine, yule mume ama mke wa kwanza huanza kujuta kwa alimuacha na wakati mwengine hufikia hatua ya kuleta vurugu. Hii yote ni kwa kuwa aliyeachwa amepanda thamani baada kuachika ama kupotezwa na mume ama mke wa kwanza.