Thanx God....17 yrs...Still getting stronger

Thanx God....17 yrs...Still getting stronger

Asante kwa hadith nzuri, inapendeza. Hapo penye rangi nyekundu na maandishi makubwa ndio pamenigusa zaidi. Watu wengi hukumbwa na hilo, mfano mtu anaweza kumuacha mkewe ama mumewe kwa vishawishi au kwa kutomuona kuwa hapendezi. Kisha baadae aliyeachwa akipata mwengine, yule mume ama mke wa kwanza huanza kujuta kwa alimuacha na wakati mwengine hufikia hatua ya kuleta vurugu. Hii yote ni kwa kuwa aliyeachwa amepanda thamani baada kuachika ama kupotezwa na mume ama mke wa kwanza.
Kweli kabisa mkuu, kwa upande wangu niligundua nampenda huyu kijana baada ya yeye kuhama, kwa kweli usingizi ulikuwa wa nadra, mawazo, mpaka nikatamani niandike tangazo gazetini lol.......nilipomuona niliruka na mimi ndio nilimkimbilia nikamkumbatia yaani mambo niliyofanya hao ni kama nilikuwa namwambia ndio nimekukubali kwa vitendo
 
hongera sana Gaga, story yako inatia moyo sana.

mbarikiwe zaidi na zaidi!!
 
Vijana wa siku hizi mnawezekana? unataka uwe na nyumba na gari ndio uoe, utajuaje sijui mtu kafata penzi, nyumba au gari, nawaombea sana aisee....honeymoon was mmmmmh yamy yamy na libonge la zawadi
Hahahaha!!!! Wenyewe wakiona hauna gari wanachapa lapa lol!!!
 
we acha mwenzio niko mpweke, kaniaga anaenda sehem kwa muda atarudi, afadhali shogake upo...
hizi research za kufanyia vijijini hiz! hatahakuna access za net huko loo, tumuombee uzima, pole shem wangu
 
Hahahaha!!!! Wenyewe wakiona hauna gari wanachapa lapa lol!!!
Nakumbuka enzi hizo na mme wangu tulikuwa tunatembea kwa miguu kutoka disco kwenda home
ukiuliza eti hatunahata pesa ya taxi but tulikuwa happy sana....kuna siku kakodi taxi mpaka pesa ilipoishia
dereva taxi alipofika kasimama akatuambia,"haya pesa yenu imeishia hapa" yaani hayo yote ni mapito
yaani sasa hivi ukikumbuka yote hayo unacheka balaa, tukashuka akanambia vua viatu mpenzi nikushikie tukaanza
kuchapa lapa hahahahahahaaa
 
Ahsante babu, nili ku promise lakini, unakumbuka?
wewe sijui ulipotelea wapi, na kuna watu walikuwa wanakutafuta sana uwajibu maswali
yao kwenye thread ya ulikuwa wapi siku zote......ukaingia mitini
Sitakusamehe kirahisi hivi......yaani inbox yangu iko wazi muda wote ikisubiri PM zako... Hata kunifinya sikio LOL.

Ngoja nikayajibu hayo maswali yao. Ahsanye kwa kunifahamisha.....kumbe na mimi huwa namisiwaga? Siamini wallah LOL
 
Kwani umesahau mara ya mwisho nusu amtoe makucha humu, si ulikuwa uko nae bize sana
kwa maswali na majibu

khaa mi hata sikumbuki iko kitu ama uzee umeingia kwa kasi Gaga?
 
Sitakusamehe kirahisi hivi......yaani inbox yangu iko wazi muda wote ikisubiri PM zako... Hata kunifinya sikio LOL.

Ngoja nikayajibu hayo maswali yao. Ahsanye kwa kunifahamisha.....kumbe na mimi huwa namisiwaga? Siamini wallah LOL
Mhh babu mbona hata kwenye thread yako ya shati lako na my wife wako nilikwambia unanibania hujamwaga mabaraka humu? wewe mtu muhimu bwana
 
Back
Top Bottom