Thawabu niliyoipata kwa kuepuka kuzini na wanafunzi

Hongera teacher. Story yako ni ya ki "Motivation Speaker". Ni kama chupa hizi za kisasa. Zinatunza joto siku 5 halafu zinapooza daima!!
 
Ubarikiwe sana mwalimu.

Njia ya kutenda mema ina maumivu sana na vikwazo. Nirahisi kujinyima starehe za kila aina ila sio ngono. Wachungaji na mashehe wameshindwa pia kuishinda zambi ya ngono.

Ninaamini kwa asilimia 100 kuwa Mwenyezi Mungu anakulipa hapahapa duniani kwa mema yako.
 
Mtoto wa kike mwanafunzi anapata wapi ujasiri wa kujirahisisha kwa mwalimu wake?!?..
Sitaki kuhukumu ila nina mashaka na unajipresent kwao..


Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Ishanitokea sana. Kuna wakati mwanafunzi anakupa wakati mgumu hadi unaogopa kuingia kufundisha darasani coz mkigonganisha tu macho utauyaona maajabu. Mimi kuna mwanafunzi alinitesa sana tena no binti mdogo tu sema ana mwili mkubwa kipindi hicho akiwa 4m one sasa ikawa Mara kwa mara anakuja kuniletea maswali ya form two sasa nikawa namkazia kua haya maswali muda wake bado lakini haelewi kumbe alikua ananiwinda tu... Nashukuru Mungu nilikiepuka hicho kihunzi mbaya zaidi alipofika kidato cha 3 alijazwa mimba... Sitasahau huo msala maana ungeniangukia mimi maana yule dogo aliwahi kunipa barua kua anataka tuwe wapenzi!!!. Mikasa ningi sana
 
Enheee there you are. Yaani kuna watu wanaweza wakadhani nimeandika hayo ili kufurahisha 'genge' lakini kiukweli Mungu ananikirimia thawabu kwa style ya kunisurprise. Kunikuta njiani natabasamu peke yangu from nowhere ni kawaida sana kwangu.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…