Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa nawaona kama wanangu wa kuwazaa. Hata wao huwa baadae wakinijua vizuri misimamo yangu huwa wanakuja kuona mimi ni kama Baba yao kabisa. Hivyo usiwe na wasiwasi mkuu.uoe sasa la sivo utawa doubledisha hawa watotoView attachment 2113156
Nisamehewe bure. Hii simu mh!Mwalimu Jitahidi Kuandika Vizuri Ili Watu Wafurahie Bandiko Lako
Hakuna Parandesi, Aya.......
Hongera teacher. Story yako ni ya ki "Motivation Speaker". Ni kama chupa hizi za kisasa. Zinatunza joto siku 5 halafu zinapooza daima!!Salam wana JF. Mimi ni mwanaume ambaye ninawiwa kutoka moyoni kujishughulisha na "Lishe ya ubongo" yaani Elimu. Ndoto zangu za maisha zimeegemea kwenye Elimu zaidi. Sasa katika harakati za kuwafundisha wanafunzi huko mashuleni na mtaani pia nimekuwa nikikutana na mitego ya hatari kutoka kwa wanafunzi wangu wa kike. Ni visa vingi sana kwa kweli. Lakini hakuna hata kimoja nilichonasa. Nimeruka mitego yote kwa zaidi ya miaka kumi sasa. Kubwa kuliko ni pale binti mmoja(kidato cha pili wakati huo) akiwa amekaa dawati la mwisho kabisa aliwahi kuivuta sketi yake nusu ya mapaja yake,halafu akaichanua miguu yake kwa wastani wa nyuzi zaidi ya tisini(Obtuse angle) tena kimkakati kabisa na akahakikisha namuona na hakuonesha kushtuka kabisa zaidi zaidi alilegeza macho yake kwa matamanio ya kingono. Mazingira aliyokuwepo yalimpa ujasiri wa kufanya hayo yote bila wenzake kumshtukia. Lakini mimi niliendelea kufundisha hadi namaliza kisha kusign out. Nilikuwa napangua visa vyao kwa kutumia akili ya ziada sana maana na wao walikuwa wananitega kijanja mno(ingawa kuna ambao walikuwa wanatumwa kwa makusudi mahususi). Kiukweli kwa mwanaume asiye na uwezo wa kuudhibiti "uanaume wake" kuingia mkenge kwenye ile mitego ilikuwa ni kugusa tu. Ndugu mwana JF,usidhani kwamba nilikuwa mjinga kuikwepa mitego ile katikati ya kizazi hiki cha zinaa. La hasha! nilikuwa najua manufaa ya nikifanyacho ambayo hadi leo nayafurahia kwa furaha ambayo sina maneno ya kuielezea nikaeleweka kwa namna ninavyotamani nieleweke. Baadhi ya manufaa hayo ni;
1. Mungu alizidi kuniamini na
kuwekeza zaidi talanta zake
ndani yangu ambazo si kwa ajili
yangu tu bali kwa ajili ya watu
wengine pia wake kwa waume.
(Hili alikuwa ananiambia na
kunithibitishia kwa kinywa chake
mwenyewe). Alikuwa ananivika
furaha ya ajabu moyoni mwangu
yenye kuashiria kwamba anapendezwa
na maamuzi yangu hayo(Ni kawaida Mungu kunipongeza kwa style hii)
2.Kuepuka kutembea na mwanafunzi mmoja nyumbani kwao(baada ya yeye kuvizia tupo mimi na yeye tu akaniwekea bonge ya mtego wa kingono ngono), kumenitengenezea connection ya kupata zaidi ya milioni 9( Baba yake ndiye kawa connector). Naamini ningejifanya chizi na kudiriki kuanza kutembea na binti yake kuna siku angeshtukia mchezo na tungekuwa maadui na ningeukosa msaada wake huu muhimu.
3. Wanajamii wanaonizunguka
wananiheshimu kipekee sana
hasa baada ya kujiridhisha
kwamba mwanafunzi mikononi
mwangu anakuwa salama
kiroho,kiakili na kimwili pia. Hata
wahuni hapa mtaani
wananiheshimu sana na huwa
wananitania wakisema "yaani
ningekuwa ndio wewe vitoto
vikijilengelesha ningekuwa
navifyatua sana,unakwama wapi
ticha?". Mi huwa nawajibu " Ni kwa
sababu mmechagua kuishi
maisha ya kujikinai".
4. Imeniongezea kujiamini zaidi.
NB: Namshukuru sana Mungu kwa
kutupa sisi wanadamu uhuru wa
kuchagua either "raha ya
muda mfupi" au "raha ya milele"
ili mwisho wa yote kila mtu
awajibike kwa maamuzi yake.
Mbarikiwe sana!
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Kuna mmoja nimempata sehemu aisee nadhani huyu ndio atanimudu barabara. Maana I'm a little bit complex creature.Kwani ticha hajaoa? Nataka nitume maombi
Hapa nimefupisha sana mkuu. Nimekutana na mengi.Hongera teacher. Story yako ni ya ki "Motivation Speaker". Ni kama chupa hizi za kisasa. Zinatunza joto siku 5 halafu zinapooza daima!!
[emoji19][emoji19][emoji19] poor meKuna mmoja nimempata sehemu aisee nadhani huyu ndio atanimudu barabara. Maana I'm a little bit complex creature.
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Ubarikiwe sana mwalimu.Salam wana JF. Mimi ni mwanaume ambaye ninawiwa kutoka moyoni kujishughulisha na "Lishe ya ubongo" yaani Elimu. Ndoto zangu za maisha zimeegemea kwenye Elimu zaidi. Sasa katika harakati za kuwafundisha wanafunzi huko mashuleni na mtaani pia nimekuwa nikikutana na mitego ya hatari kutoka kwa wanafunzi wangu wa kike. Ni visa vingi sana kwa kweli. Lakini hakuna hata kimoja nilichonasa. Nimeruka mitego yote kwa zaidi ya miaka kumi sasa. Kubwa kuliko ni pale binti mmoja(kidato cha pili wakati huo) akiwa amekaa dawati la mwisho kabisa aliwahi kuivuta sketi yake nusu ya mapaja yake,halafu akaichanua miguu yake kwa wastani wa nyuzi zaidi ya tisini(Obtuse angle) tena kimkakati kabisa na akahakikisha namuona na hakuonesha kushtuka kabisa zaidi zaidi alilegeza macho yake kwa matamanio ya kingono. Mazingira aliyokuwepo yalimpa ujasiri wa kufanya hayo yote bila wenzake kumshtukia. Lakini mimi niliendelea kufundisha hadi namaliza kisha kusign out. Nilikuwa napangua visa vyao kwa kutumia akili ya ziada sana maana na wao walikuwa wananitega kijanja mno(ingawa kuna ambao walikuwa wanatumwa kwa makusudi mahususi). Kiukweli kwa mwanaume asiye na uwezo wa kuudhibiti "uanaume wake" kuingia mkenge kwenye ile mitego ilikuwa ni kugusa tu. Ndugu mwana JF,usidhani kwamba nilikuwa mjinga kuikwepa mitego ile katikati ya kizazi hiki cha zinaa. La hasha! nilikuwa najua manufaa ya nikifanyacho ambayo hadi leo nayafurahia kwa furaha ambayo sina maneno ya kuielezea nikaeleweka kwa namna ninavyotamani nieleweke. Baadhi ya manufaa hayo ni;
1. Mungu alizidi kuniamini na
kuwekeza zaidi talanta zake
ndani yangu ambazo si kwa ajili
yangu tu bali kwa ajili ya watu
wengine pia wake kwa waume.
(Hili alikuwa ananiambia na
kunithibitishia kwa kinywa chake
mwenyewe). Alikuwa ananivika
furaha ya ajabu moyoni mwangu
yenye kuashiria kwamba anapendezwa
na maamuzi yangu hayo(Ni kawaida Mungu kunipongeza kwa style hii)
2.Kuepuka kutembea na mwanafunzi mmoja nyumbani kwao(baada ya yeye kuvizia tupo mimi na yeye tu akaniwekea bonge ya mtego wa kingono ngono), kumenitengenezea connection ya kupata zaidi ya milioni 9( Baba yake ndiye kawa connector). Naamini ningejifanya chizi na kudiriki kuanza kutembea na binti yake kuna siku angeshtukia mchezo na tungekuwa maadui na ningeukosa msaada wake huu muhimu.
3. Wanajamii wanaonizunguka
wananiheshimu kipekee sana
hasa baada ya kujiridhisha
kwamba mwanafunzi mikononi
mwangu anakuwa salama
kiroho,kiakili na kimwili pia. Hata
wahuni hapa mtaani
wananiheshimu sana na huwa
wananitania wakisema "yaani
ningekuwa ndio wewe vitoto
vikijilengelesha ningekuwa
navifyatua sana,unakwama wapi
ticha?". Mi huwa nawajibu " Ni kwa
sababu mmechagua kuishi
maisha ya kujikinai".
4. Imeniongezea kujiamini zaidi.
NB: Namshukuru sana Mungu kwa
kutupa sisi wanadamu uhuru wa
kuchagua either "raha ya
muda mfupi" au "raha ya milele"
ili mwisho wa yote kila mtu
awajibike kwa maamuzi yake.
Mbarikiwe sana!
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Natamani nikushauri uiache hiyo tabia lakini sidhani kama hiyo tabia yenyewe itakuacha kwa sababu unaishi kwa kuusikiliza mwili na tamaa zake zenye kudanganya.Ngoja sisi wanafunzi tutafune walimu wa kike tuu
No usijisemee hivyo hata yeye hadi sasa haamini kama kanipata Mimi. Inua macho juu.[emoji19][emoji19][emoji19] poor me
Ndio safi, utaanza kuvipata ulivyokuwa unavipoteza kwa kufanya zinaa.Nikiacha uzinzi moja kwa moja itasaidia?
Naam,ni yeye ndiye kanitengeneza hivyo lakini hiyo ni baada ya mimi kukubali kutengenezekaMshukuru sana Mungu kwa kuweza kuchagua matendo mema hayo
Ishanitokea sana. Kuna wakati mwanafunzi anakupa wakati mgumu hadi unaogopa kuingia kufundisha darasani coz mkigonganisha tu macho utauyaona maajabu. Mimi kuna mwanafunzi alinitesa sana tena no binti mdogo tu sema ana mwili mkubwa kipindi hicho akiwa 4m one sasa ikawa Mara kwa mara anakuja kuniletea maswali ya form two sasa nikawa namkazia kua haya maswali muda wake bado lakini haelewi kumbe alikua ananiwinda tu... Nashukuru Mungu nilikiepuka hicho kihunzi mbaya zaidi alipofika kidato cha 3 alijazwa mimba... Sitasahau huo msala maana ungeniangukia mimi maana yule dogo aliwahi kunipa barua kua anataka tuwe wapenzi!!!. Mikasa ningi sanaMtoto wa kike mwanafunzi anapata wapi ujasiri wa kujirahisisha kwa mwalimu wake?!?..
Sitaki kuhukumu ila nina mashaka na unajipresent kwao..
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Sawa ngoja nijitahidiMwalimu Jitahidi Kuandika Vizuri Ili Watu Wafurahie Bandiko Lako
Hakuna Parandesi, Aya.......
Enheee there you are. Yaani kuna watu wanaweza wakadhani nimeandika hayo ili kufurahisha 'genge' lakini kiukweli Mungu ananikirimia thawabu kwa style ya kunisurprise. Kunikuta njiani natabasamu peke yangu from nowhere ni kawaida sana kwangu.Ubarikiwe sana mwalimu.
Njia ya kutenda mema ina maumivu sana na vikwazo. Nirahisi kujinyima starehe za kila aina ila sio ngono. Wachungaji na mashehe wameshindwa pia kuishinda zambi ya ngono.
Ninaamini kwa asilimia 100 kuwa Mwenyezi Mungu anakulipa hapahapa duniani kwa mema yako.