Thawabu niliyoipata kwa kuepuka kuzini na wanafunzi

Ukifaulu Dar es salaam ndio nitatia neno.
Hahahahaaaaa. Hakuna jipya rafiki. Their attitude is the same. No matter geographical location. Kwa haiba niliyo nayo naturally, mwanzoni, huwa wanajipa moyo "aa,huyu maharage ya mbeya,maji mara moja" badala yake wanakutana na surprise. Kuna ambao waliwahi "kunishtaki" kwamba eti kwa nini siwatongozi?.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Yaani mitego ya wanafunzi, mijimama aka mishangingi na wake za watu kuichomoka inabidi Mungu wa Yusuph akusimamie.

Watoto wa siku hizi wana vijua hivi vitu mapema sana. Unakuta kibinti cha shule kinadate na mtu umri wa babu yake na hakijali kabisa. Walimu wanapitia magumu sana ila wengi wao huwaga wanaishia kuwagonga wanafunzi.
 
Ni kweli vishawishi vipo sana tu,lakini, ukiamua kuvishinda ni a MUST THING. Kushindwa au kushinda ni jambo la hiyari. Wewe binafsi unaamua ushinde au ushindwe. Lipo ndani ya uwezo.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Amini sana tucha tupo pamoja kupambania kombe japo njia nyembamba na imesongwa muda mwingine tunatoa mguu nje ila tunajirudi
 
Soo motivational

Waalimu wasome hapa
 
Kwanza kabisa nakupongeza kwa kushinda vishawishi.
Swali langu, wakati unashinda vishawishi hivyo geto ulikua na kipoozeo.?
Hapana sikuwa nacho,licha ya ukweli kwamba mtaani nako nilikuwa nakutana na vishawishi vya kimkakati kutoka kwa wadada na wamama. Siri kuu ni kuwa na uwezo wa kuudhibiti mwili na tamaa zake kwa kuenenda kiroho. Spiritual world is so powerful enough to master the physical world.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli vishawishi vipo sana tu,lakini, ukiamua kuvishinda ni a MUST THING. Kushindwa au kushinda ni jambo la hiyari. Wewe binafsi unaamua ushinde au ushindwe. Lipo ndani ya uwezo.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Tunatofautina Yusuph aliweza kuukwepa mtego wa mke wa mfalme wa Misri, ila Daudi alishindwa kuzibiti tamaa zake za mwili akaishia kupita na mke wa mmoja wa makamanda wake.

So tunatofautiana sometimes hata washika dini huteleza cha msingi ni kuendelea kumuomba Mungu.
 
Wote hao waliamua. Yusufu aliamua kushinda kwa kukimbia. Daudi aliamua kushindwa kwa kuzisikiliza na kuzitii tamaa za mwili wake zilizoibuka dhidi ya yule mke wa mtu. Ni suala la hiyari sio la bahati mbaya. Ukiamua hakuna wa kukuzuia.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo wewe kushinda hiko kishawishi ndio unajiona upo perfect. Binadamu hatujakamilika unaweza ukawa upo strong eneo moja la kiroho ila ukawa dhaifu eneo lingine na kiroho. So husijiproud sana hata huyo Daudi hakupenda alicho kifanya bali tu aliteleza kama binadamu.
 
Sipo hapa kujisifu,nipo hapa kushuhudia uhalisia ulivyo bila ushabiki. Ndio maana mwisho wa yote kila mtu huwajibika kwa maamuzi yake.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…