The 1st 2013 Kenyan Presidential Debate

The 1st 2013 Kenyan Presidential Debate

Wengine walizusha kuwa alipewa maswali kabla hivyo akajiandaa in advance, pia kukawa na malalamiko kuwa kipaza saauti cha mrema kilichakachuliwa though haikumzuia kushuka points...

Walikuwa hawajui tu kuwa jamaa ni policy wonk with the gift of gab.
 
Halafu B nimekumiss.:shut-mouth::shut-mouth:

sasa utakuta labda M7 na kina Raila wana madeal mengine kibao yasiyo halali, sasa partners in 'crime' inkuwa vigumu kuchenjiana ki ivo ndo iutasikia 'tutalimaliza kidiplomasia"
B nilikuuliziaga pale Chako nikaambiwa hujawahi hata kukanyaga ni kumbe unaosheaga tu JF...mweeh!

Raila aende zake huko na majibu yake 'mepesi' kama ya huyu mshikaji wake wa bongo.
 
Martha is for free public Primary and secondary education...I like this...
 
But this is Martha Karua. An individual. What makes you generalize that she symbolizes women? That because she is strong, women are not weak. That because she is strong,another woman is also strong; and all women are strong.
Like ! Like ! Like !
 
B nilikuuliziaga pale Chako nikaambiwa hujawahi hata kukanyaga ni kumbe unaosheaga tu JF...mweeh!

Raila aende zake huko na majibu yake 'mepesi' kama ya huyu mshikaji wake wa bongo.

Unamaanisha "bwana maendeleo"?

Kuna kitu nilitaka kukwambia hapa, ila kuna mtu atanuna ngoja nikwambie PM
 
Shule za 'kata' Kenya hazina vitabu wala walimu - suala hili la kuwa na matabaka kielimu linanifurahisha kuona linapewa uzito ktk mdahalo huu ingawa utekelezaji ni suala lingine'

Na ukifatilia uhaba wake haulingani na wetu wa Tanzania lakini wao wanajali sana elimu
 
I really enjoy this Debate. These are all very serious candidates with knowledge on the issues they are debating on. Well done Kenya. Several current and past ministers are as well in contention. live - NTV
 
Mods ndiyo nini sasa bana na nyie? Mbona hii mmeileta huku kwenye misiasa ya bongo?
 
Wengine walizusha kuwa alipewa maswali kabla hivyo akajiandaa in advance, pia kukawa na malalamiko kuwa kipaza saauti cha mrema kilichakachuliwa though haikumzuia kushuka points...

Walikuwa waki muandermine Mkapa wakisema ni bubu. Kwenye mdahalo jamaa akashuka nondo za kufa mtu. Kwa mara ya kwanza akatumia maneno kama mtandao wa shule nk. Mrema akabaki hoi akisema amekuwa Naibu waziri Mkuu, nk.
 
But this is Martha Karua. An individual. What makes you generalize that she symbolizes women? That because she is strong, women are not weak. That because she is strong,another woman is also strong; and all women are strong.

Zungu Pule, we have a tradition that does not trust women (especially Africa), this Is due to our wrong mentality delivered through our poor culture. Also when one woman fails you guys you are good at generalising forgetting there are also strong women around.

Give a credit when due.
Queen Esther
 
Hivi kama huko Kenya wana uhaba wa walimi 100,000 inakuwaje huku kwetu wapo "walimu wakenya" kwenye hizi "english medium" zetu, au tunawalipa vizuri zaidi?
Kaizer inakuwa hivi waalim wa Kenya kwa taarifa amabzo nilizipata toka wizarani hasa ni kuwa huwa wengi hasa wale wa lugha ya kiswahili hUpata kazi shule za nchi nyigine kama Rwanda, China,nk
Na hao unai'jidariji' wako kwenye shule zetu za kizungu pia wanaongeza hivyo deficiency lakini nikuonye kuwa si wote waongeao kizungu huko ni tained teachers...

Kuna mmoja kilnuka in one of the schools, hakuwa hata na gamba la kuzugia na alikuwa mwalimu mwenye majukumu mengine pia.
 
Martha Karua anaua sasa kuhusu matumizi makubwa ya fedha kwenye kampeni. Huwa naona akina Kenyatta wakitumia helcopita kuchana anga.

Raila amepatikana leo. Siuoni umahiri wake ambao huwa nauona kwenye kampeni
 
Seriously i noticed that before you alerted me, lol. he is a piece of work lakini ila si kama nimevutiwa sana:mwaaah::mwaaah:
heartbreaking za politicians comes with a banggggg!
Hahahaaa haya bana! Kweli Ken kapata attention yako.

And that is the difference of a lady from a gal. mie huwa na notice how a man treats every lady. except for flirting with luring words and physical na nini, king'asti aint jelous. ukinijia unamponda ex wako ujue hauna chance kabisaaa!
Hahahahaaaa!! so you pretend that you are not feeling jealous?...Haya mkoya!!
 
Zungu Pule, we have a tradition that does not trust women (especially Africa), this Is due to our wrong mentality delivered through our poor culture. Also when one woman fails you guys you are good at generalising forgetting there are also strong women around.

Give a credit when due.
Queen Esther

Wepesi sana kuhukumu wanawake wote kwa kosa ama udhaifu wa mmoja lakini hawataki kusifia wanawake wote kwa mafanikio ya mmoja...lol! so unfair
 
Safari za nje za Raila zinamvua nguo sasa. Anajitetea kwamba anachokipata kwa kwenda nje ni kingi kuliko gharama za safari zake za nje!

Kumbe safari za nje ni kilio pia kwa wakenya.

Raila anajibu huku anataka kulia.
 
Seriously i noticed that before you alerted me, lol. he is a piece of work lakini ila si kama nimevutiwa sana:mwaaah::mwaaah:
heartbreaking za politicians comes with a banggggg!

You have that eye G the E....'memba that?:becky:
 
Back
Top Bottom