Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
For sure,... Safari ya urais wa nji hii ilipata hitilafu kubwa sana pale...wakati wenzie wanashusha nondo na sera yeye yuko busy na nilikamata sahabu, makyambasi, nimejenga vituo vya polisi nk.... I wonder kwanini JK na timu yake walikataa hii kitu 2010...may be alisoma alama za nyakati....Midahalo ni mizuri sana inasaidia kuwajua vizuri wagombea....
1995 Mkapa aliwagaragaza akina Mrema, Cheyo, na Lipumba.