Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,951
- 9,977
Calling others devil worshippers!
Ustaadh huyo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Calling others devil worshippers!
Kwa maoni yangu hii issue ya ICC, itamshusha sana Uhuru....si umesikia kijembe cha serikali ya skype? LOL
Ila huyu Julie wa Citizen huyu........
CC Nyani Ngabu
Nadhani kwa dharau hiyo hiyo ndo maana suala la Migingo halijashughulikiwa, maana Watendaji wenyewe ndo hao wenye kudharau kama hivyo.Mi mwenyewe nimeshangaa kwa kauli yake hiyo...nadhani sio nzuri sana kwen jukwaa kama hilo,,,,bora jamaa aliyesema angepeleka navy na anajua waganda hawana navy...
Kwa maoni yangu hii issue ya ICC, itamshusha sana Uhuru....si umesikia kijembe cha serikali ya skype? LOL
Ila huyu Julie wa Citizen huyu........
CC Nyani Ngabu
Mkuu serikali ya binamu yake Raila imenusa kwamba Knyatta yuko kwenye upande wa ushindi ikaamua kusema kwamba haitafanya kazi na wenye kesi kama wakichaguliwa.
Hili suala la ICC ilikuwa limumalize Kenyatta leo hii lakini jamaa kajitahidi kweli kweli kulijibu.
Julie is going in HAM on the candidates!
Aisee mbona Kenneth analitaja sana jina la Julie:becky:
He is just a gentleman. Its kind to mention a name when talking to a lady. I loved him for that too, you know.
Huyo jamaa naye kachemsha. Very undiplomatic of him to say that. Je Waganda wakichukulia hiyo kauli kuwa ni ya kiuchokozi?
Hahahaaa namba 9 kachoka mbaya. Naona hakutegemea Uhuru angepangua kiasi cha kuridhisha 'inshu' ya ICC...Mbona Raila anaongea kama amekata tamaa?
nadhani inatakiwa Rais aliye firm..hata kwa 'mkwala' kama huo....wakichukulia ni uchokozi poa tu liwalo na liwe...maana kama wana uhakika kuwa migingo ni ya kwao, lakini Uganda wana jeshi la polisi ppale linalinda usalama, si uvamizi huo? kwa Siye tungeshatangaza vita kama ile ya Iddi Amin:becky: (ila sio na hii sirikali yetu hii)
Mkuu serikali ya binamu yake Raila imenusa kwamba Knyatta yuko kwenye upande wa ushindi ikaamua kusema kwamba haitafanya kazi na wenye kesi kama wakichaguliwa.
Hili suala la ICC ilikuwa limumalize Kenyatta leo hii lakini jamaa kajitahidi kweli kweli kulijibu.
Hahahaaa namba 9 kachoka mbaya. Naona hakutegemea Uhuru angepangua kiasi cha kuridhisha 'inshu' ya ICC...
Mkuu swali la ICC lilikuwa ni killer question lakini jamaa kajitahidi kupambana nalo na Kenneth akamsaidia.
Hii debate inanikumbusha ule mdahalo wa hapa Tanzania wa mwaka 1995 ambapo ulimporomosha Mzee wa Kilalacha na kumuinua Mzee wa Lupaso.
Mbona Raila anaongea kama amekata tamaa?