The 1st 2013 Kenyan Presidential Debate

The 1st 2013 Kenyan Presidential Debate

But where is the lady? I thought she was going to co-moderate the debate...

I was asking myself the same question....putting into consideration how pretty she is...May be she will appear in the next session...
 
MIGINGO IS IN KENYA! lol

Eyewitness-Migingo-Island-012.jpg
 
Dida mimi sijawahi hata kuona kampeni zake, na mara ya kwanza kimwona ni vile alipeleka makaratasi yake kwenye tume ya uchaguzi, nahisi yeye ni fungu la kusahaulika.

Hicho chama chake ni cha zamani?

Hawapendwi kabisa na wa Kenya! Wanawaona wasomali na waislamu kama ni janga ndani ya kenya, hata hapa kwetu nadhani unaona jinsi wanavyoharibu amani ya nchi kwa udini, ''kwenye kundi la mamba hata kenge wamo''
 
Swali laulizwa :Migingo Island katika ziwa Victoria ni sehemu ya Kenya au Uganda, wagombea wanakubaliana hakuna haja ya vita na majirani ila njia za kidiplomasia zitumike kulimaliza migogoro na nchi jirani.

Hivyo wagombea karibu wote wa Urais Kenya ''hawapendi kutumia njia ya kivita' kutatua migogoro na nchi jirani ila mgombea Paul Muite ambaye taaluma yake ni uanasheria yeye anasema ubabe wa kutumia njia ya vita ni muhimu kutumika katika kunyakua kisiwa hiki cha Migingo toka kwa 'wavamizi' wa Uganda na pia katika mizozo mingine ya mipaka ikitokea.
 
ahaaaaa! I thought you fell for Ms Karua kwi kwi kwi

I just like her courage. She's the only woman there. It takes a lot of confidence to debate all those men up there when you are the only woman.
 
Paul Muite on Migingo and Illemi Triangle! Very firm! I love it!

MB%20-%20ilemi_triangle_map.gif
 
Hawapendwi kabisa na wa Kenya! Wanawaona wasomali na waislamu kama ni janga ndani ya kenya, hata hapa kwetu nadhani unaona jinsi wanavyoharibu amani ya nchi kwa udini, ''kwenye kundi la mamba hata kenge wamo''
Nani wanaharibu? Dida na chama chake au?
 
I was asking myself the same question....putting into consideration how pretty she is...May be she will appear in the next session...

Huyo Julie Gichuru, hosts citizen weekend edition.
 
Back
Top Bottom