Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Amesema sa ngapi...jamani...
Chica mambo? umechelewa wewe...alisema wakati wanazungumzia mambo ya ICC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amesema sa ngapi...jamani...
Julie has a British accent....was she born there?
Hata citizen at 9.Huyo Julie Gichuru, hosts citizen weekend edition.
She's a real looker, ain't she?:A S thumbs_up:
There you are Nyani Ngabu, i hope King'asti will also agree with us!...
Back to the topic...
This Guy Kenneth must lower his emotion! Please King'asti advise accordingly...
Nyani Ngabu ninatabiri mgombea wako Uhuru atashindwa uchaguzi huu na hata mdahalo huu nadhani ameshindwa.
Kumbukumbu yangu imenirudisha kwa wagombea wako kama John mcCain, Prof. Lipumba na Romney!
Love the candidates profiles. Hii ukipeleka tbc1 wanaku-tidomhando fasta!
Mkuu pole. Subiri gesi ya Mtwara ikifika miaka mitano ijayo mambo yatakuwa sawa.
Martha amempiga msumari Kenyatta kuhusu kesi yake ya Hague na pia amemsahihisha Odinga ambaye ameongopa kwamba kura ilipigwa bungeni kuamua kama mahakama ya kuwashitaki watuhumiwe iwe Kenya ama ICC. Martha amesema kura haikupigwa. Raila kanywea.
Kenyatta linajibu maswali kwa ufasaha na kujiamini. Nadhani amepata ile kitu ya Tarime.
Hahaha na kweli Tarime ni jirani tu na nairobea. Akikosa cha Tarime anakamatia kitu cha Somalia.
So far unaona nani amejipambanua vizuri kati ya farasi wawili?
labda upeleke 'bango shango'???Love the candidates profiles. Hii ukipeleka tbc1 wanaku-tidomhando fasta!
Chica mambo? umechelewa wewe...alisema wakati wanazungumzia mambo ya ICC
Uliona kivazi cha J-Lo kwenye Grammy's?
Hahahaaa haya bana. Wewe nikumbushie machungu tu lakini jua kwamba Hillary atagombea tena 2016 na safari hii atashinda. Au umesahau kama mimi ni Team Clinton?
Halafu sidhani kama Uhuru anafanya vibaya kwenye huu mdahalo. The guy is very well-spoken and he knows his stuff.
J-lo ni mgonjwa wa akili yule. But she is got nice boobs (i aint a lesbo. Im a realist)
Freedom of Hague ameomba commercial break yakuzima kiu ya sigara....