The 2019 NBA Playoffs

Kwa ufupi ni kwamba kwenye playoffs watu wanamuwinda Curry na kumsahau KD. Kuhusu Historia ya Steph sidhani kama kuna mtu ataweza kuifikia ya huyu jamaa anaongoza 3 za playoffs hata michezo mia (kama sikosei) hajafikia [emoji2][emoji2] Wanaofuata wakila Rey Allen wana mbili na sabini na kitu huko ..... balaaa
 
Ni kweli, games nyingi zinakuwa decided na maamuzi ya referees, ziko fouls zisizohitaji kuwa called na zipo zinazohitaji kuwa called lakini wapi!
Kama game one ya warriors na rockets, referees wameamua ile game
 
Ray Allen, when asked if Curry was the greatest 3pt shooter had this to say...

"Based on what he’s done, I think he has to be—he’s on his way to being the best ever. He’s creating a lane all of his own. People comparing him to me, to Reggie [Miller]. But I think Steph is in a category of his own.

Just being able to have great handles the way he has with the ball, to be able to score at will by getting to the basket. Myself, Reggie Miller, Kyle Korver, Klay Thompson—we play a different game. We’re shooters. We come off screens, pindowns—Steph can do that, but he’s creating a different lane."
 
Reactions: BAK
I am watching Mkuu hopefully Celtics will tie the series tonight 2-2. It is a very crucial game for Celtics to win otherwise their season will be over in few days.

Quarter one is over, Celtics are up by 8.
 
I am watching Mkuu hopefully Celtics will tie the series tonight 2-2. It is a very crucial game for Celtics to win otherwise their season will be over in few days.

Man, looks like Milwaukee have Boston's number, the lead is now 2 points. Heading to halftime.
 
Reactions: BAK
This game is over. Bucks is leading this series 3-1.
 
This game is over. Bucks is leading this series 3-1.

Kyrie complained on Giannis going to the line 22 times game 3.

Today they (Boston) went to the line many times than Bucks.
 
Reactions: BAK
Tied series 2-2
 
What a game! Good efforts by both teams.
 
Hii speed waliyoamka nayo GSW quarter ya mwisho si mchezo
 
Kwa hii michezo miwili, Rockets wameonesha uwezo mkubwa wa kutungua tatu tatu! Wamefunga 17 huku Warrios wakiambulia 6 tu. Haya sasa ni 2-2 na tunahamia Oracle Arena kwa mchezo wa tano. Je ukame wa tatu tatu kwa Warriors utaendelea au mambo yatabadilika? Katika majaribio kumi Steph Curry kaambulia mbili tu...maajabu haya! Hata hivyo hongera sana Rockets kwa kusawazisha na kuwaacha mashabiki wa GSW roho juu, good luck!
 
Hivi GsW Wana hali Gani Mpaka Sasa
 
Kahwi is so good but very unfortunately he won’t stay with the Raptors and it is a huge gap to feel next season.

Mashabiki Wa Kawhi Wanasema Kawhi Had been the most CONSISTENT PALAYER on both ends of the floor in the playoff
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…