Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Imeisha hiyo BossKu-adjust namna ya kucheza dhidi ya GSW ndani ya game siyo rahisi. Lakini kwa game nzima, Rockets wana nafasi ya ku-adjust.
GSW wana machaguo mawili: kukubali kuwa blown out ili Steph and Klay wasicheze 40+ minutes, au kukubali kushindwa kwa tofauti ya points 5 na kwenda game 7 wakiwa wamechoka balaa, baada ya Steph, Klay na Draymond kucheza 40+ minutes.
Imeisha hiyo dingilaiRhythm was already set, KD was out for only a quarter.
Bahati nzuri kwao, Harden went cold for the whole quarter, alifunga kitu kama 3 points pekee.
KD kutokuwepo mwanzo mpaka mwisho wa game si swala dogo.
WashapotezaBut 1 question:
Game 5 baada ya kutoka kwa KD kwanini waliashindwa kutake over? Hii kitu inanipa wasiwasi kwamba wanaweza wakapoteza pia game 6.
GSW plays as a team when KD is not there, but KD akiwepo ndani ya game always anataka adominate mpira muda wote na ndio maana hata ball rotation inakua ndogo sana coz yeye atataka atoe pass ya mwisho au awe finisher, most of the games KD akitoka na point nying then GSW inakua imefungwa but kama team wakishare points wanakua wanashindaAnd a dagger to their City's heart we plunged - K. S. invoking Master Yoda.
Curry with the fire once again.
Congrats to all GSW fans out here! Now let's wait for either the Miners or the Rips.
GSW wana machaguo mawili: kukubali kuwa blown out ili Steph and Klay wasicheze 40+ minutes, au kukubali kushindwa kwa tofauti ya points 5 na kwenda game 7 wakiwa wamechoka balaa, baada ya Steph, Klay na Draymond kucheza 40+ minutes.
KD is out for the rest of the series, sasa tuone kama Houston Rockets can use this to their advantage. Last year Game aliumia CP3 na Houston Rockets walikuwa 3 - 2 wakapoteza baada ya hapo. Na wao wanasema kama CP3 asingeumia wangemtoa GSW.
Say whaat??Ushabiki ni kitu cha ajabu sana, eti GSW ashinde game 6 on road!
If GSW are to win this series, it will be at home, not away.
Au alivyoshinda unanimously mwaka uliofuata na kupigwa nyumbani kwao kwenye game 7.Eti Harden MVP! Utakuwaje MVP huku timu yako inatolewa bila kuiona milango ya FINALS? Huo U-MVP hauna maana tena. Curry alipopata U-MVP alihakikisha anaifikisha timu yake kwenye fainali na kutwaa ubingwa mwaka 2015/2016.
Cavs all the wayBoss huyu jamaa bado yupo CAVS tu si kahama na lebron kwenda lakers
GSW huwa wanakuwa hatari sana kama KD anakuwa hayupo uwanjani..!GSW plays as a team when KD is not there, but KD akiwepo ndani ya game always anataka adominate mpira muda wote na ndio maana hata ball rotation inakua ndogo sana coz yeye atataka atoe pass ya mwisho au awe finisher, most of the games KD akitoka na point nying then GSW inakua imefungwa but kama team wakishare points wanakua wanashinda
Ahahaaaah...Ushabiki ni kitu cha ajabu sana, eti GSW ashinde game 6 on road!
If GSW are to win this series, it will be at home, not away.
Kiongozi...Rhythm was already set, KD was out for only a quarter.
Bahati nzuri kwao, Harden went cold for the whole quarter, alifunga kitu kama 3 points pekee.
KD kutokuwepo mwanzo mpaka mwisho wa game si swala dogo.
Safi...GSW wapo juu hata kabla ya ujio wa KD na sura nyingi zikiwa bado zipo oracle. The splash bros will lead the offense. In my opinion,KD was left to do what he did best and the rest to feed him,now that he is out,their coach will come with a plan to beat HR.
Not so true, man!GSW plays as a team when KD is not there, but KD akiwepo ndani ya game always anataka adominate mpira muda wote na ndio maana hata ball rotation inakua ndogo sana coz yeye atataka atoe pass ya mwisho au awe finisher, most of the games KD akitoka na point nying then GSW inakua imefungwa but kama team wakishare points wanakua wanashinda
Ah! No games tonight.
Guys What happened to our beloved Hasheem?! Why he isn't playing with NBA Superstar's?!