Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Imeisha hiyo BossKu-adjust namna ya kucheza dhidi ya GSW ndani ya game siyo rahisi. Lakini kwa game nzima, Rockets wana nafasi ya ku-adjust.
GSW wana machaguo mawili: kukubali kuwa blown out ili Steph and Klay wasicheze 40+ minutes, au kukubali kushindwa kwa tofauti ya points 5 na kwenda game 7 wakiwa wamechoka balaa, baada ya Steph, Klay na Draymond kucheza 40+ minutes.