The 2019 NBA Playoffs

The 2019 NBA Playoffs

Ku-adjust namna ya kucheza dhidi ya GSW ndani ya game siyo rahisi. Lakini kwa game nzima, Rockets wana nafasi ya ku-adjust.

GSW wana machaguo mawili: kukubali kuwa blown out ili Steph and Klay wasicheze 40+ minutes, au kukubali kushindwa kwa tofauti ya points 5 na kwenda game 7 wakiwa wamechoka balaa, baada ya Steph, Klay na Draymond kucheza 40+ minutes.
Imeisha hiyo Boss
 
Rhythm was already set, KD was out for only a quarter.

Bahati nzuri kwao, Harden went cold for the whole quarter, alifunga kitu kama 3 points pekee.

KD kutokuwepo mwanzo mpaka mwisho wa game si swala dogo.
Imeisha hiyo dingilai
 
Eti Harden MVP! Utakuwaje MVP huku timu yako inatolewa bila kuiona milango ya FINALS? Huo U-MVP hauna maana tena. Curry alipopata U-MVP alihakikisha anaifikisha timu yake kwenye fainali na kutwaa ubingwa mwaka 2015/2016.
 
And a dagger to their City's heart we plunged - K. S. invoking Master Yoda.

Curry with the fire once again.

Congrats to all GSW fans out here! Now let's wait for either the Miners or the Rips.
GSW plays as a team when KD is not there, but KD akiwepo ndani ya game always anataka adominate mpira muda wote na ndio maana hata ball rotation inakua ndogo sana coz yeye atataka atoe pass ya mwisho au awe finisher, most of the games KD akitoka na point nying then GSW inakua imefungwa but kama team wakishare points wanakua wanashinda
 
GSW wana machaguo mawili: kukubali kuwa blown out ili Steph and Klay wasicheze 40+ minutes, au kukubali kushindwa kwa tofauti ya points 5 na kwenda game 7 wakiwa wamechoka balaa, baada ya Steph, Klay na Draymond kucheza 40+ minutes.
KD is out for the rest of the series, sasa tuone kama Houston Rockets can use this to their advantage. Last year Game aliumia CP3 na Houston Rockets walikuwa 3 - 2 wakapoteza baada ya hapo. Na wao wanasema kama CP3 asingeumia wangemtoa GSW.
  • Last year Chris Paul gets hurt and the Warriors take it in 7.
  • This year Kevin Durant gets hurt and the Warriors take it in 6.
 
Eti Harden MVP! Utakuwaje MVP huku timu yako inatolewa bila kuiona milango ya FINALS? Huo U-MVP hauna maana tena. Curry alipopata U-MVP alihakikisha anaifikisha timu yake kwenye fainali na kutwaa ubingwa mwaka 2015/2016.
Au alivyoshinda unanimously mwaka uliofuata na kupigwa nyumbani kwao kwenye game 7.
 
Attachments

  • 07BF0367-6234-467F-A98C-31C3ED50B905.jpeg
    07BF0367-6234-467F-A98C-31C3ED50B905.jpeg
    162.2 KB · Views: 17
GSW plays as a team when KD is not there, but KD akiwepo ndani ya game always anataka adominate mpira muda wote na ndio maana hata ball rotation inakua ndogo sana coz yeye atataka atoe pass ya mwisho au awe finisher, most of the games KD akitoka na point nying then GSW inakua imefungwa but kama team wakishare points wanakua wanashinda
GSW huwa wanakuwa hatari sana kama KD anakuwa hayupo uwanjani..!
Ukitaka uwafaidi vyema Klay na Steph basi KD awe hayupo kwa court...
Ndio maana watu wanakuambia KD aliihitaji GSW ili aweze kupata rings,lakini GSW ilikuwa haimuhitaji KD ili kupata mataji..!
 
Rhythm was already set, KD was out for only a quarter.
Bahati nzuri kwao, Harden went cold for the whole quarter, alifunga kitu kama 3 points pekee.
KD kutokuwepo mwanzo mpaka mwisho wa game si swala dogo.
Kiongozi...
Hivi umeshawahi kukutana na Stats zinazoonesha matokeo ya GSW wakiwa bila KD uwanjani na wakiwa bila Steph..?
 
GSW wapo juu hata kabla ya ujio wa KD na sura nyingi zikiwa bado zipo oracle. The splash bros will lead the offense. In my opinion,KD was left to do what he did best and the rest to feed him,now that he is out,their coach will come with a plan to beat HR.
Safi...
Wewe unaifuatilia na kuijua vizuri GSW..!
 
GSW plays as a team when KD is not there, but KD akiwepo ndani ya game always anataka adominate mpira muda wote na ndio maana hata ball rotation inakua ndogo sana coz yeye atataka atoe pass ya mwisho au awe finisher, most of the games KD akitoka na point nying then GSW inakua imefungwa but kama team wakishare points wanakua wanashinda
Not so true, man!

There is no ball-hogger in that team.

If anything I'd say, GSW is relaxed coz they have more attacking flair with KD. And due to their unselfish game, it's easy for some people to assume KD is ball-hogging.

No doubt you know Westbrook. Between KD and Wes, you can clearly see an efficient teammate [emoji739] a stat-padding ball-owner.

As many say, GSW have the luxury in having KD in the Death Lineup. And to tell you the truth, Easy Money Sniper has been delivering with every single minute he has been on the court.
 
Kwenye miti hakuna wajenzi Mkuu. According to the latest news he is now in Japan playing Basketball, but I am not 100% sure about the accuracy of this info.

Guys What happened to our beloved Hasheem?! Why he isn't playing with NBA Superstar's?!
 
Back
Top Bottom