Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Golden State are not good enough this year and if they are not careful their dynasty won’t be achieved.
Clippers tumefanya miujiza leo, tumevunja rekodi ya kushinda baada ya kuwa nyuma kwa point 31 kwenye playoffsYaani we acha tu nafumba na kufumbua clippers wameshinda wakati gs walikuwa wanaongoza. kazi ipo
Good question, I did not expect Clippers to give them any difficulties but now they’re worried. I thought Spurs or Nuggets.
Aisee, yaani nilifungua ili niangalie game recap nikashangaa sana.
GSW itabidi akaze hizo game zinazofata, nitaangalia game 3.
Kama Cousins hatakuwepo itakuwa changamoto ku-adjust.
Atleast hapo sweep hakuna.
Sijui kwa nini lakers wanashindwa kufanikiwa, wamejaribu kurebuild kwa muda mrefu wamekuwa na players vijana wazuri lakini wanashindwa kuperform vizuri. Baadhi yao wakitoka lakers wanakuwa na performance nzuri kama Lou Williams, D'AngeloToka mwaka 2019 uanze wamecheza vizuri.
Naona hata PG wao D'Angelo Russell ka-improve sana ukilinganisha na alivyotemwa na Lakers, sikuwahi kuwaza kama atafika hizi level.
Caris LeVert was also improving kwa kiwango kikubwa, asingepata injury jamaa wangeweza hata kushinda game 46+.
Clippers are playing their hardest. Pamoja na kutokuwa na allstars , starting two sometimes kumpiga three rookies wana passion. Baada ya ile trade ya Thobias Harris kwenda sixers everybody though we were about to tank.. sina matumaini sana na kuwapiga warriors kwenye hii series ila naapreciate juhudi zao. Lou Williams for back to backk 6th man of the year. Doc for coach of the year
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani Blazers anaweza mpa changamotoIt will be an upset.
Ukiangalia unaona ni timu gani inaweza kumsumbua kwa West?
Nadhani Blazers anaweza mpa changamoto
MGC
Sijui kwa nini lakers wanashindwa kufanikiwa, wamejaribu kurebuild kwa muda mrefu wamekuwa na players vijana wazuri lakini wanashindwa kuperform vizuri. Baadhi yao wakitoka lakers wanakuwa na performance nzuri kama Lou Williams, D'Angelo
Sent using Jamii Forums mobile app
Clippers was unexpected....hata wachezaji im.sure wameshangaaWakuu mmewaona Clippers? Sikutegemea washinde hata game 1 ugenini.
Sixers wameshatie ni 1-1Game ya Clippers ilikuwa ya maajabu.
Niliangalia scoreboard nikaona wameachwa kama 25+, nikajua imeisha hii.
Baadae kuangalia nikakuta wako 100 kwa 112, baadae eti wameshinda. Aisee.
Yeah! That was a fluke otherwise let them show the World that they are for REAL.
Nipo Naangalia Europe basketball League, Ni best of 3 series na ndiyo game ya 1. Kuna game nzuri nne na robo usiku wa leo real madrid vs panathanikos
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ligi zimeshanishinda kuangalia, naona DSTV wanaonesha hizo games.