VeronicaAmadu
JF-Expert Member
- May 4, 2011
- 310
- 380
final ni final chek comeback hii KAWHI mnyama sanaKama Raptors wasingesinzia 3rd quarter ya game 2 series ilikuwa inaisha leo
Inauma,lakini niseme tu tumeshapigwa na hii game..!
Hawa jamaa wanatuchapa kwa kutumia "fimbo" zetu wenyewe..!
MVPfinal ni final chek comeback hii KAWHI mnyama sana
Hapa California Ni Sa25:00, Habari Ya Tz Dada VeroZa asubuhi ndugu zangu [emoji1430]
Third Quarter ipi unayoizungumzia wewe Broh..!?Hahaha Kaka Usikate Tamaa q3 ndio inaamua Game
Third Quarter ipi unayoizungumzia wewe Broh..!?
Watu washaitumia vyema wanakuja Quarter ya mwisho kumaliza kazi..!
Mtu tunayetegemea atupe points nyingi leo hayupo katika ubora wake..!
Sioni tunapona vipi hii game chief..!
Hapa California Ni Sa25:00, Habari Ya Tz Dada Vero
Thank you Ibaka u changed the game
Oooh...Hahaha Kaka Ujue 3 quarter mostly huwa inadertemine game at all, Kwani Klay Thompson Yumo?
Hahaha Dada Hapa Kwema, Sisi Kama Raptors Tushamaliza ShughuliSalama kabisa mkuu Tumbo. Za Cali? Natumaini haukuwa na ticket ya game 7 kama unavyoon haturudi Cali. [emoji23][emoji23][emoji23]
Oooh...
Kumbe hauangalii game mkongwe..!?