The 2019 NBA Playoffs

The 2019 NBA Playoffs

Naona Toronto gets their shooting back in the 3rd, while Warriors keep turning the ball over.
 
Hahaha Kaka Usikate Tamaa q3 ndio inaamua Game
Third Quarter ipi unayoizungumzia wewe Broh..!?
Watu washaitumia vyema wanakuja Quarter ya mwisho kumaliza kazi..!
Mtu tunayetegemea atupe points nyingi leo hayupo katika ubora wake..!
Sioni tunapona vipi hii game chief..!
 
Hahaha Kaka Ujue 3 quarter mostly huwa inadertemine game at all, Kwani Klay Thompson Yumo?
Third Quarter ipi unayoizungumzia wewe Broh..!?
Watu washaitumia vyema wanakuja Quarter ya mwisho kumaliza kazi..!
Mtu tunayetegemea atupe points nyingi leo hayupo katika ubora wake..!
Sioni tunapona vipi hii game chief..!
 
Hivi inakuwaje timu za wazungu zinafanya najisikia vibaya hivi..?
Sijawahi kuangalia mechi ya Yanga au Taifa Stars zikiwa zinafungwa alafu nikajisikia vibaya kama ninavyojisikia nikishuhudia Man City na GSW wanafungwa..!
Yaani hapa nilivyovurugwa naweza hata nikamchapa mtu makonde..!
Hawa wazungu sijui walitupa nini aisee..!!!
 
Inauma sana kuangalia Curry akikosa 3pts kama hivi.
Walau Klay alijaribu ila wengine wote leo wako butu.
 
Back
Top Bottom