Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
CAVS fan naona hadi jino la 39 Leo linaonekana ahahahDynasty? Larriors wakifungwa, hakuna dynasty tena hapo.
And here I thought you were sportsman material! Flogging a dead horse, aren't you? Well, flog it as hard as you can for that way, it may bring you more joy! Just remember, that's not what sportsmen do! And another thing... it ain't o'er til' it's o'er !
it ain't over til it's over!
Gsw ni kama manchester united tu,ikifungwa watu wanafanya sherehe Don Clericuzio
Hata King James aliwahi kupindua
Hivi Raptor Wanahitaji Game Moja Hili Wawe Mabingwa Wa NBA Sio?Alipindua kwa kina nani?
Si kwa hawa hawa chockers mpaka wakamsajili KD!
Hivi Raptor Wanahitaji Game Moja Hili Wawe Mabingwa Wa NBA Sio?
Hivi Raptor Wanahitaji Game Moja Hili Wawe Mabingwa Wa NBA Sio?
Klay, Looney, Cousins na Andre hawapo fit 100%.Hii siyo timu ya mtu mmoja mkuu, kwani ukiacha KD ni nani mwingine majeruhi?
Kama uongozi wao ukifanya smart trades offseason dynasty bado ipo.Dynasty? Larriors wakifungwa, hakuna dynasty tena hapo.
Klay, Looney, Cousins na Andre hawapo fit 100%.
Spanish-Congolese man, ana hasira sana baada ya kuukosa ubingwa miaka ile akiwa na Thunder dhidi ya iliyokuwa timu bora kabisa kwenye NBA MIAMI HEAT ikiongozwa na king James, sasa hataki tena kulia kwenye fainli kama walivyokesha wanalia yeye na akina Durant kipindi kile. Mwaka huu amepania kuliza watu ndio maana aogopi kupigwa technical foul yaani anacheza na mwili ukigeuka, unageuka nae.. ukipanda, unapanda nae.. akipata wide open anatupia tatu, huyo ndio Serge Ibaka bonge la mtu.Huyo Mkongo yupo serious na kazi.... [emoji2]
Mimi team King Rafa,jana nimefurahi sana. Ila nilikuwa naangalia chanel ambayo watangazaji walikuwa team Roger kabisa. Roger akishinda point yaani wanaonekana kabisa wanafurahi. At the end pamoja na upepo mkali,Rafa akashinda seti 3 huku Roger akiambulia sifuri. Sasa tunamsubiri kati ya Djokovic na Thiem.
Bwana Mag3 mwenyeketi wa GSW fans, hakika upaswi kulalamika kwa mafanikio ambayo timu yako imeyapata kwa hii miaka 5 iliyopita. Kupata 3 rings tena dhidi ya Lebron, siyo kitu kidogo eti.Hodi hodi, kwa kweli tumepigwa, Warriors tumepigwa na baada ya leo ni 3-1! Je ndio mwisho wa safari kwa Warriors? Haya tusubiri tuone kitakachotokea huko Toronto! Je Raptors watavikwa taji nyumbani kwao? Silalamiki, kwa kweli tumezidiwa tena si kidogo.
Call him three-peat buster.Kawhi Leonard was The Finals MVP in a team that stopped Miami Heats (LBJ and Co) 3 Peat.
Kawhi Leonard is in the verge of stopping GSWs 3 Peat. He will definitely be The Finals MVP if they do it.
Do people still chant east is weak conference even after what we have seen in this postseason?I'd hate that to happen..the championship has to stay in the West
Sasa kama ndio mnawaza hivi huyo Dermacus Cousin mlimsajiri wa nini? mkaibomoa tu Pelican ya watu kwa tamaa zenu za fisi wachezaji wote wazzuri muwe nao nyie.Kwakweli sasa KD arudi tu,maana michezaji inayocheza kibabe kama Kahwi dawa yao ni KD tu..!