The 2019 NBA Playoffs

The 2019 NBA Playoffs

And here I thought you were sportsman material! Flogging a dead horse, aren't you? Well, flog it as hard as you can for that way, it may bring you more joy! Just remember, that's not what sportsmen do! And another thing... it ain't o'er til' it's o'er !

it-aint-over-png.1121268


it ain't over til it's over!

So sportsman materials are not allowed to return the shades thrown at them right?

That is the taste of your own medicine, just take it and chill.
 
Klay, Looney, Cousins na Andre hawapo fit 100%.

Who cares?

Mara ngapi wameshinda kwa sababu wenzao ni majeruhi?

Remember 2015 Cavs, Kevin Love na Kyrie walikuwa bench.

2016 Conference Finals walimuumiza Kawhi, (Zaza Pachuria did the dirty). Spurs were 20+ leading that game, baada ya Kawhi kutoka upepo ukabadilika.

2018 Criss Paul anaumia kwenye WCF game 5, upepo ukabadilika.

So, it's their turn.
 
Huyo Mkongo yupo serious na kazi.... [emoji2]
Spanish-Congolese man, ana hasira sana baada ya kuukosa ubingwa miaka ile akiwa na Thunder dhidi ya iliyokuwa timu bora kabisa kwenye NBA MIAMI HEAT ikiongozwa na king James, sasa hataki tena kulia kwenye fainli kama walivyokesha wanalia yeye na akina Durant kipindi kile. Mwaka huu amepania kuliza watu ndio maana aogopi kupigwa technical foul yaani anacheza na mwili ukigeuka, unageuka nae.. ukipanda, unapanda nae.. akipata wide open anatupia tatu, huyo ndio Serge Ibaka bonge la mtu.

Advantage kubwa niliyoiona wako nayo hawa RAPTORS kulinganisha na GSW ni kuwa, wakati GSW wana mtu kma Draymond Green ambaye ndio muhimili mkubwa kwenye build-up ya timu hasa sehemu ya defence, wao Raptors wana watu wawili wakufanya majukumu hayo ipasvyo S.Ibaka na P.Siakam. Mbali na points walizofunga ambazo P.Siakam anaonekana kufunga nyingi zaidi, vitu vingine vilivyobaki wanalingana kama vile blocks,rebounds,steals. Wakati hao wakiteleza majukumu hayo THE claw anafanya mambo yake kama anavyofanya siku zote kwenye big game.

Golden State warriors walishindwa kujifunza kwenye vile vichapo viwili walivyopewa kwenye regular season na badala yake wameingia kwenye finals series kimazoea wakidhani kwamba Raptors nayo ni ONE-MAN TEAM kama ilivyokuwa Cavaliers tu, kiasi kwamba wakimbana mchezaji mmoja basi wameua timu na tayari wanajihakikishia ushindi. Kwenye regular season mechi ambayo warriors walipitoza oracle huku Kawhi akiwa nje, niliona jinsi wachezaji wa raptors walivyokuwa wana fill ile three-points line, kitu ambacho kiliwapa shida sana warriors na wakajikuta muda mwingi waki-miss na kuishia kufunga vikapu vichache tofauti na walivyozoea.

Naona watu wanasema eti Durant akirudi hii series itaenda mpaka game 7, inawezekana lakini sio kwa hii defense ya raptors nnayoiona. hata kama KD atarudi wakijitahidi sana na game 6 Raptors wanakabidhiwa ndoo.
 
Mimi team King Rafa,jana nimefurahi sana. Ila nilikuwa naangalia chanel ambayo watangazaji walikuwa team Roger kabisa. Roger akishinda point yaani wanaonekana kabisa wanafurahi. At the end pamoja na upepo mkali,Rafa akashinda seti 3 huku Roger akiambulia sifuri. Sasa tunamsubiri kati ya Djokovic na Thiem.

Unaangalia game?

Djokovic safari inawadia.
 
Hodi hodi, kwa kweli tumepigwa, Warriors tumepigwa na baada ya leo ni 3-1! Je ndio mwisho wa safari kwa Warriors? Haya tusubiri tuone kitakachotokea huko Toronto! Je Raptors watavikwa taji nyumbani kwao? Silalamiki, kwa kweli tumezidiwa tena si kidogo.
Bwana Mag3 mwenyeketi wa GSW fans, hakika upaswi kulalamika kwa mafanikio ambayo timu yako imeyapata kwa hii miaka 5 iliyopita. Kupata 3 rings tena dhidi ya Lebron, siyo kitu kidogo eti.

Nadhani unafahamu fika ni timu mmoja tu kati ya timu 33 zilizowahi kuovercome deficit ya 3-1 kwenye fainali za NBA tangu inaanzishwa.

Sasa je, mnaweza mkamtenda RAPTORS kama mlivyotendewa? Na pia Kawhi ana historia nzuri sana dhidi ya timu zinazofukuzia 3-peat kwenye fanali.
 
Kawhi Leonard was The Finals MVP in a team that stopped Miami Heats (LBJ and Co) 3 Peat.
Kawhi Leonard is in the verge of stopping GSWs 3 Peat. He will definitely be The Finals MVP if they do it.
Call him three-peat buster.
 

Attachments

  • 3-peats buster.jpg
    3-peats buster.jpg
    78.9 KB · Views: 13
Kwakweli sasa KD arudi tu,maana michezaji inayocheza kibabe kama Kahwi dawa yao ni KD tu..!
Sasa kama ndio mnawaza hivi huyo Dermacus Cousin mlimsajiri wa nini? mkaibomoa tu Pelican ya watu kwa tamaa zenu za fisi wachezaji wote wazzuri muwe nao nyie.
 
Kama una swali ni kwanini tulio wengi tunafurahia GSW ikifungwa na kwanini tunataka Raptors wachukue ubingwa. Huyu jamaa ni moja wapo ya sababu.
 

Attachments

  • why we hate gsw.jpg
    why we hate gsw.jpg
    61 KB · Views: 16
  • another reasons why we hate gsw.jpg
    another reasons why we hate gsw.jpg
    66.6 KB · Views: 15
WARRIORS FANS BEFORE THE FINALS SERIES START
"warriors in 4....warriors in 4.. warriors in 4"

WARRIORS FANS AFTER GAME 1
"warriors in 5.... warriors in 5.... warriors 5"

WARRIORS FANS AFTER GAME 2
"i told y'all, where are our haters?... warriors in 5"

WARRIORS FANS AFTER GAME 3
"raptors have won their last game... warriors in 6"

WARRIORS FANS AFTER GAME 4
"too many injuries cost us, anyway warriors in 7"

......so much arrogance to warriors fans. I wont be surprised to hear their usual song "warriors in 8..warriors in 8" on monday.
 
Back
Top Bottom