Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yo mbna tunakaushiana wazee au ndo mnaangalia kacomment nani ndo mnajibu?
Blazers wamelala, Nuggets walinda heshima yao nyumbani...121 - 113!
Ndio mkuu menu ni hiyo hiyo, cha kushangaza hizo Chanel za NBA hakuna. Ata niki click hapo kwenye Chanel
Kwenye hiyo Menu, uki-click humo kwenye channel, kwa juu pana search, itumie kutafuta ABC na TNT utaziona.
ESPN na NBA TV ziko kwenye sports, nazo ukisearch utaziona.
Kwenye hiyo Menu, uki-click humo kwenye channel, kwa juu pana search, itumie kutafuta ABC na TNT utaziona.
ESPN na NBA TV ziko kwenye sports, nazo ukisearch utaziona.
Mkuu nimefanikisha, tatizo ni kuwa Chanel zake zina loading tu mpaka kero mwisho wa siku unaambiwa ooh no currently stream ziko OFF LINE. Kuhusu mtandao niko sehemu nzuri yenye kushika mtandao vile ipasavyo.

Usichukulie playstore, nenda google.
Hiyo link ni ya version ya 2.1.30 (ukipata upgrade ya 2.1.34 ndiyo very latest) ila hii iko powa.
![]()
Mobdro APK 2.1.30 Download (Official Latest Version 2019)
Get the official links to download the Mobdro APK 2.1.30 version. Also, learn how to enable Mobdro premium features. Remember that, the installation part is not the same as downloading the app from the Play Store. It is a separate procedure to install it on Android-based devices.mobdrobuzz.com
Mkuu sijachukulia playstore, na sidhani kama Mobdro inapatikana playstore. Pia nimedownload hiyo latest maana nilivyo ona sipati Chanel za NBA nikafuta ile niliyo kuwa nayo kisha nikapakua hiyo mpya asubuhi ya leo, sijajua tatizo ni nini hasa.
Hapo sijui, ila ungetest kama channel zingine zinapatikana, ukiona zipo itakuwa easy.
Naona imekubali, ila loading sana. Hivi kuna uwezekano wa kuunganishwa hizi Chanel za Mobdro nikawa nazicheki kwenye Televisheni? Maana jamaa wa Chanel kama zote yaani. View attachment 1084601
Naona imekubali, ila loading sana. Hivi kuna uwezekano wa kuunganishwa hizi Chanel za Mobdro nikawa nazicheki kwenye Televisheni? Maana jamaa wa Chanel kama zote yaani. View attachment 1084601
Thx Mkuu hii imenisaidiaTumia online apps.
Download Mobdro Application kama unatumia Android based phone, hapo utapata channels zote.
Kama game iko TNA utaangalia kupitia TNA, vivyo hivyo kama ni ESPN, NBA TV nk.
Thx Mkuu hii imenisaidia
Hii app inaweza kufanya usilipie hata package za michezo za TV, maana hakuna kinachokosekana humo.
Mkuu kabla ya kukujibu swali lako naomba nikuulize, ni mchezo gani unaoushabikia na unauelewa vizuri?
Mi ni fan wa Football toka kitambo sana,nilikuwa nafatilia NBA ila sio kwa ukaribu sana hivi karibuni ndo nimeanza kuifatilia kwa umakini ndo maana nimekuja kwenye hii forum kujifunza zaid sasa naona tunakaushiana au kuna kitu nimemiss?
Swali ulilo uliza ni sawa na mtu akuulize Manchester United inakwama wapi kupambana na Man City?
Inabidi imchukue nani na nani ili iweze kumfunga City?
Unadhani nani anaweza kulijibu hilo swali?