The 2019 NBA Playoffs

The 2019 NBA Playoffs

Zote mbili

For Mobdro! Unapata menu kama hii hapa kwenye picha?

Screenshot_20190430-090216.jpg
 
Ndio mkuu menu ni hiyo hiyo, cha kushangaza hizo Chanel za NBA hakuna. Ata niki click hapo kwenye Chanel

Kwenye hiyo Menu, uki-click humo kwenye channel, kwa juu pana search, itumie kutafuta ABC na TNT utaziona.

ESPN na NBA TV ziko kwenye sports, nazo ukisearch utaziona.
 
Mkuu nimefanikisha, tatizo ni kuwa Chanel zake zina loading tu mpaka kero mwisho wa siku unaambiwa ooh no currently stream ziko OFF LINE. Kuhusu mtandao niko sehemu nzuri yenye kushika mtandao vile ipasavyo.

Labda version unayotumia, ngoja nicheki kama NBA TV kuna matangazo halafu tuone settings zikoje.

Hii chini ni screenshot niliyochukua in less than a minute, ni NBA TV.

Screenshot_20190430-110353.jpg
 
Mkuu nimefanikisha, tatizo ni kuwa Chanel zake zina loading tu mpaka kero mwisho wa siku unaambiwa ooh no currently stream ziko OFF LINE. Kuhusu mtandao niko sehemu nzuri yenye kushika mtandao vile ipasavyo.

Usichukulie playstore, nenda google.

Hiyo link ni ya version ya 2.1.30 (ukipata upgrade ya 2.1.34 ndiyo very latest) ila hii iko powa.

Mkuu sijachukulia playstore, na sidhani kama Mobdro inapatikana playstore. Pia nimedownload hiyo latest maana nilivyo ona sipati Chanel za NBA nikafuta ile niliyo kuwa nayo kisha nikapakua hiyo mpya asubuhi ya leo, sijajua tatizo ni nini hasa.

Hapo sijui, ila ungetest kama channel zingine zinapatikana, ukiona zipo itakuwa easy.
 
Naona imekubali, ila loading sana. Hivi kuna uwezekano wa kuunganishwa hizi Chanel za Mobdro nikawa nazicheki kwenye Televisheni? Maana jamaa wa Chanel kama zote yaani.
Hapo sijui, ila ungetest kama channel zingine zinapatikana, ukiona zipo itakuwa easy.
Screenshot_20190430-121614.jpg
 
Naona imekubali, ila loading sana. Hivi kuna uwezekano wa kuunganishwa hizi Chanel za Mobdro nikawa nazicheki kwenye Televisheni? Maana jamaa wa Chanel kama zote yaani. View attachment 1084601

Aisee sina utaalamu huo, labda kama ni Smart TV zenye android ili ufanye ku-install moja kwa moja.

Game ukiona inazingua, nimeona Sport TV 1 (Portugal) wanaonesha na haina kustack. Lugha tu ndiyo shida.
 
Mkuu kabla ya kukujibu swali lako naomba nikuulize, ni mchezo gani unaoushabikia na unauelewa vizuri?

Mi ni fan wa Football toka kitambo sana,nilikuwa nafatilia NBA ila sio kwa ukaribu sana hivi karibuni ndo nimeanza kuifatilia kwa umakini ndo maana nimekuja kwenye hii forum kujifunza zaid sasa naona tunakaushiana au kuna kitu nimemiss?
 
Swali ulilo uliza ni sawa na mtu akuulize Manchester United inakwama wapi kupambana na Man City?

Inabidi imchukue nani na nani ili iweze kumfunga City?

Unadhani nani anaweza kulijibu hilo swali?
 
Kwani kinachoshindikana hapo ni nini mkuu?Kwan Top players or Top prospects wa NBA hamuwajui, kwa football mimi ningeweza kujibu, ofcoz wanaweza wasifanye vizuri wakija lakn unaweza fanya educated guess,nilichokuwa nahitaji kujifunza hapo ni kujua some of the top players kwenye NBA ambao wanaweza waka make a big difference/impact kwenye timu kama 76ers,mfano tu ww ulivyo sikia KD au Cousins anaenda Warriors si ulijua ataleta impact kiasi gani au ulikuwa hujui kbsa mkuu?
 
Back
Top Bottom