simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
- Thread starter
-
- #61
I know huu ni uchaguzi wa Kenya, but there is something not right na hii presidential debate. Kama msikilizaji, bado sijaelewa policies za hawa watu! Debate imekuwa kama mahakama ya 'scandals' zilitotokea huko nyuma.
Maybe wangetenga muda - mahsusi- ili wagombea wajadili scandals, halafu wawe ni debate kwa ajili ya policies. Lakini hii leo, I am confussed!

Ngoja tusubiri tuoneToday's debate is not issue based.
Mi sioni mdahalo hapo zaidi ya Mipasho na Kusutananimeipenda democracia ya mdahalo unavyoendeshwa yaani ni babkubwa kina mbatia,mbowe,lipumba na wengineo wanapaswa kuiga
Yaani tanesco ndio wanarudisha umeme!
Dida annamvaa Odinga kuwa ni msaliti kukubali kujiunga na serikali ya kibaki