The 2nd 2013 Kenyan Presidential Debate.

Karua drops a bomb on Kenneth - Kenneth kumiliki nyumba ya Kenya Reinsuarance.
 
I know huu ni uchaguzi wa Kenya, but there is something not right na hii presidential debate. Kama msikilizaji, bado sijaelewa policies za hawa watu! Debate imekuwa kama mahakama ya 'scandals' zilitotokea huko nyuma.

Maybe wangetenga muda - mahsusi- ili wagombea wajadili scandals, halafu wawe ni debate kwa ajili ya policies. Lakini hii leo, I am confussed!
 
Kwa kweli hii debate inachanganya, huyu Moderator amegeuka kuwa Prosecutor.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
I know huu ni uchaguzi wa Kenya, but there is something not right na hii presidential debate. Kama msikilizaji, bado sijaelewa policies za hawa watu! Debate imekuwa kama mahakama ya 'scandals' zilitotokea huko nyuma.

Maybe wangetenga muda - mahsusi- ili wagombea wajadili scandals, halafu wawe ni debate kwa ajili ya policies. Lakini hii leo, I am confussed!

They should debate policies. This is what Onyango-Obbo tweeted: Honestly, a presidential debate and we are discussing plots and houses candidates bought?
 
  • Thanks
Reactions: FJM
I like Dida's observation "Those who failed to beat the government in corruption issues ultimately joined it.
 
Dida annamvaa Odinga kuwa ni msaliti kukubali kujiunga na serikali ya kibaki
 
Hapa Uhuru naona haguswi kabisa, yupo kama hayupo.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
nimeipenda democracia ya mdahalo unavyoendeshwa yaani ni babkubwa kina mbatia,mbowe,lipumba na wengineo wanapaswa kuiga
 
Hawa watu wanashangaza kweli....

Mdahalo umegeuka kuwa mahakama ya scandals....

Kila mtu anajaribu kutoa scandals za wenzake na moderator anafurahia....What a shame...

Naona Uhuru katuliaaa......Yeye hajatoa scandal hata moja kwa wenzake..
 
nimeipenda democracia ya mdahalo unavyoendeshwa yaani ni babkubwa kina mbatia,mbowe,lipumba na wengineo wanapaswa kuiga
Mi sioni mdahalo hapo zaidi ya Mipasho na Kusutana
 
???TBC, duh mbona huwa wanaacha kuonesha yanayotuhusu kwa nini kukimbilia ya Kenya?

Sema leo wamewasaidia hawa Startimes.. Yaani kama nisingeona mdahalo huu leo kesho ningewapeleka mahakamani Startimes kwa utapeli lane..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom