The 2nd 2013 Kenyan Presidential Debate.

The 2nd 2013 Kenyan Presidential Debate.

Minimum wage; a wage to give a kenyan a decent living. Now what is the definition to a decent living? Hapo ndo kasheshe.

Umeona eenhe!!! Uhuru anajifanya alipitisha mishahara ya viongozi kwa pressure kubwa,
 
Hao ndo wanasiasa ukiwauliza hiyo definition ya decent life watakupigia maneno mpaka unaweza kuanza kusinzia.

Nashindwa kufahamu kama wanasiasa nao wameumbwa na Mungu, manake wanayosema hayana uhalisia wa maisha yao
 
Dida ni noma, anataka kuwalipisha wale wenye mishahara mikubwa isiyoendana na uhalisia
 
Huyu moderator naona anaanza kuwaindict wagombea, naona Muite katupiwa kesi ya kupokea rushwa.
 
Paul Mwite anatuhumiwa kula rushwa ya miaka ya 90, Golden burg scandal, anakataa kata kata
 
Aisee issue ya minimum wages imekuwa ngoma nzito kwa wagombea wote, hakuna anayetaka kuji commit!
 
Nashindwa kufahamu kama wanasiasa nao wameumbwa na Mungu, manake wanayosema hayana uhalisia wa maisha yao
Wameumbwa na Mungu lakini wameamua kutochangamana naye, wametafuta njia zao wenyewe ndo maana unaona wanayoyaongea hayana uhalisia. Kulikuwa na mwanasiasa mmoja wakati wa kampeni alienda sehemu ambayo hata mto hakuna akaahidi kujenga daraja, walipomuuliza daraja la nini mbona hatuna mto akawajibu msiwe na wasiwasi mto nitauleta mapema iwezekanavyo.
 
Mudavadi anaruka kimanga scandal ya goldenburg! Hahaha leo kazi ipo ngoja tuone scandal za Uhuru na Raila!
 
Wameumbwa na Mungu lakini wameamua kutochangamana naye, wametafuta njia zao wenyewe ndo maana unaona wanayoyaongea hayana uhalisia. Kulikuwa na mwanasiasa mmoja wakati wa kampeni alienda sehemu ambayo hata mto hakuna akaahidi kujenga daraja, walipomuuliza daraja la nini mbona hatuna mto akawajibu msiwe na wasiwasi mto nitauleta mapema iwezekanavyo.

Hahaha this is classic!
 
Mama sauti imebadilika baadanya kutupiwa tuhuma ya rushwa!!
 
Odinga sauti inamkauka, na kigugumizi juu, tuhuma ya ubadhirifu katika mpango wa ajira kwa vijana
 
Back
Top Bottom