THE ACCIDENTAL BILLIONAIRES- The founding of facebook: a tale of money,genius and betrayal

Kuna film inaitwa network, kuhusu hii stori ndio muandishi kaitoa..
 
3b06d9a280d23810182dd500b40e9db6.jpg
 
Wape watu link ya movie au original source maana hata namna ya kusimulia ni boring au ndo ilikuwa kiki ya kutafutia mademu JF
 
Hii JF siyo ya GT anymore watu wana IQ ndogo sana, akili yako imekuw messed sana na mademu hamna kingine akl inawaza poor guy whoever you are, Link iko hapo juu in pdf form anaeielewa lugha ya malkia ajisomee asieelewa asubir mwana amalizie kama wewe una link ya kiswahil wape watu.
 
Wape watu link ya movie au original source maana hata namna ya kusimulia ni boring au ndo ilikuwa kiki ya kutafutia mademu JF

Kila movie lazima antagonist aplay part yake

I'm not trying to make you understand, ila:-

Moja: I'm not a man

Mbili: Hujalazimishwa kusoma

Tatu: Hata ningetoa link direct bila kusimulia, na imani kati ya watu kumi mmoja pekee ndo angeweza kusoma

Nne: Link imo humu ndani wenzio wameshaitoa, siju kwa nini wewe sasa hujaenda kuisoma, naimani hujasoma comments

Tano: Don't pretend to act smart!
 
Leta muendelezo nafuatilia kimya kimya...
 
Moja: I'm not a man

You must be of a kind, all the times I have been referring to you as a man, my bad!

Am personally waiting for the next episode, I have gone through the copy issued here, but I can tell your story is 3 times sweet to the original, so please just don't let these disses into your head.

Keep calm, give us the story in your fashion and time.
 
Wape watu link ya movie au original source maana hata namna ya kusimulia ni boring au ndo ilikuwa kiki ya kutafutia mademu JF
Kwa nini usiende kutafuta hiyo link we mwenyewe we fala, BTW hiyo link imo humu, story original ni ya hovyo haswa haieleweki. Huyu mjomba aendelee tu tena kwa lugha maridhawa ya Kiswahili.
 
Back
Top Bottom