The beauty and the ugly.

Nitareport abuse hapa wakupige ban mbona unatutonesha vidonda aise

rocky bana,yani unashabikia timu ya wachovu? Hivi gemu lenu na sandalend limeishaje leo?
 
Unafikiri nafanananishwa na nani...lol!!!
hapa unafananishwa na timbe kocha wa yanga aliyefukuzwa na yanga baada ya kuengeneza timu iliyomfunga simba.
We umetengeneza kina Bebii kisha kina Bishanga tunajilia taratiiiiiiiiiiiiiiiiiibu!!!!!!!
 
Nenda kwa amani dude! hahahahaa no hard feelings ila kumbuka mama mchungaji angenitoa kwenye kwaya!! Bishanga naona anataka nitengwe kabisa hadi kanisani.....lol!!
lala we mtoto,tutaongea kesho.
 
akasirike nini sasa wakati naye yuko ndani ya malavii na mukulu,muzee munene,muzee wa pamba,muzee wa madolari,ile mtu nakuya jana toka parii,
je ma pel TF!!!!!!!!!!


Yaani Kipipi anasingiziwa hivihivi..........jamani!!!!
 

...ama? si alikuwa mgonjwa huyu? na kuna mtu alishamchuria kabisa hapa...aisee watu wabaya humu,
wewe waone tu kwa avatar zao!
mmmhhh kwamba?
 
mimi hii avator ni mimi nipo beach hapo nilijuwa napunga upepo kila wkend nitaweka pozi lingine
jungu linatembea humu mmu eti in fact we ni Bebii?
Mi nawasilisha tu taarifa,usinijibu tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…