The beauty and the ugly.

The beauty and the ugly.

Unafikiri nafanananishwa na nani...lol!!!
hapa unafananishwa na timbe kocha wa yanga aliyefukuzwa na yanga baada ya kuengeneza timu iliyomfunga simba.
We umetengeneza kina Bebii kisha kina Bishanga tunajilia taratiiiiiiiiiiiiiiiiiibu!!!!!!!
 
bug.gif
mbu una mambo!!!!!?????!!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Nenda kwa amani dude! hahahahaa no hard feelings ila kumbuka mama mchungaji angenitoa kwenye kwaya!! Bishanga naona anataka nitengwe kabisa hadi kanisani.....lol!!
lala we mtoto,tutaongea kesho.
 

...ama? si alikuwa mgonjwa huyu? na kuna mtu alishamchuria kabisa hapa...aisee watu wabaya humu,
wewe waone tu kwa avatar zao!
mmmhhh kwamba?
 
mimi hii avator ni mimi nipo beach hapo nilijuwa napunga upepo kila wkend nitaweka pozi lingine
jungu linatembea humu mmu eti in fact we ni Bebii?
Mi nawasilisha tu taarifa,usinijibu tafadhali.
 
Back
Top Bottom