Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi hii avator ni mimi nipo beach hapo nilijuwa napunga upepo kila wkend nitaweka pozi lingine
hapa unafananishwa na timbe kocha wa yanga aliyefukuzwa na yanga baada ya kuengeneza timu iliyomfunga simba.Unafikiri nafanananishwa na nani...lol!!!
tatizo lenu ndo hilo ,mkishaingia mkenge kwa TF mnajitia hamumjui,lol! We jana si ulikuwa naye bluebird sinza?
akasirike nini sasa wakati naye yuko ndani ya malavii na mukulu,muzee munene,muzee wa pamba,muzee wa madolari,ile mtu nakuya jana toka parii,
je ma pel TF!!!!!!!!!!
lala we mtoto,tutaongea kesho.
matumizi ya tatu?
(hasa ukiwa bodingskul?)
Kipipi haujambo....lol!Yaani Kipipi anasingiziwa hivihivi..........jamani!!!!
unaweza nikumbusha avatar na id yako ya mwanzo?
rocky bana,yai unashabikia timu ya wachovu? Hivi gemu lenu na sandalend limeishaje leo?
jungu linatembea humu mmu eti in fact we ni Bebii?
Mi nawasilisha tu taarifa,usinijibu tafadhali.
Juu kutoka wapiumeanza sasa,hayo ni maagizo toka ngazi juu,umesikia?