The Best FIFA Football Awards 2019: Messi atwaa tuzo ya Mchezaji bora, Klopp awa Kocha bora

Kitu pekee nachojua mpaka sasa kati ya Messi na Ronaldo.Ni hii UEFA iliyoanza.

Team wanazocheza zitakapozingua matokeo.Huwa wanatajwa watu wawili tu humu...

MESSI kazingua
Ronaldo kazingua..

Halafu unakuja kusikia hapa kelele kibao kuhusu hawa watu wawili.Miaka hii ya karibuni sijawahi sikia majina yenye pilika mingi mno kama haya mawili.
FIFA inawapa mnachopenda bado mnalalamika.

Watu mpaka wanapasuana na vyupa ukianza ubishi wa Messi na Ronaldo...

wacha wapewe tuzo hizo mpaka wafe...wengine wasubiri kwanza muda wao.Wajikaze......hao jamaa wanahangaikia familia zao eti.
 
Wabongo katika ubora wao wa kulalama...wanashindana na fifa utafkiri wao ndio wamepiga hizo kura....wakati mwingine elimu inamtoa mtu ujinga...



Yani unajaribu kumuelewesha mtu haelewi tu, unamwambia hii ni individual performance anabisha tu...kumbe wabishi tunao wengi na sio wahehe tu...
 
Hivi uwezo binafsi ni nini??? Ni kufunga magoli mengiiiiii halafu kuchukua La Liga, na kushindwa kuisaidia timu yako ya taifa walau kufika fainali kwa mwaka husika na kisha kuchukua tuzo ya mchezaji bora wa FIFA

Vile vile uwezo binafsi huohuo ndio uliowaweka Marcelo ,modric na Ramos kwenye best 11,

Hao ndio FIFA na wapigakura wao
 

Kama unataka takwimu unaweza ukakuta Lampard ni bora kuliko Zidane. Vijana wa sasa uelewo wenu wa Football ni waajabu kabisa.

Kwa kuzingatia takwimu hata Maradona anaweza akakosa hata top 20 ya wachezaji wa dunia.

Na kusema kuwa Pogba alicheza vizuri kuliko Modric world cup ni vichekesho vikubwa.
 

Hii hoja ya uwezo binafsi nashindwa ielewa kabisa. Marcelo huko Madrid alikua akila bench msimu uliomaliza. Defence ya Real Madrid iliokua ikiongozwa na Ramos iliongoza kuruha magoli mengi kuliko timu yoyote kubwa msimu uliomaliza bado kaingia kwenye eleven bora.
 
Ukisoma utafikiri tumewahi hata kuchukua kombe la Africa Tz au hata Club bingwa kwa vilabu vyetu huku.
Kila mtu mjuaji huku bongo..kila mtu mchambuzi anajua mpira..
Wanafikiri FIFA kama kigenge cha Kahawa vile...

Binafsi toka Kizazi kila cha Gaucho na wenzake ni nani wanafanya jitihada hasa binafsi kutufanya tuangalie mpira.
Ronaldo huku Messi hawa jamaa ni Almighty amewapa nafasi na wakaitumia haswa.

Sijawahi kusikia humu Liver,City,PSG au Bayern zikizingua wanaongelewa individual prayer..ila popote alipo Ronaldo au Messi siku nzima tunakosa usingizi humu.
Binafsi nitazidi kusema wapewe tu wanastahili mno maana hao waliobaki hatuoni mambo yao kama hawa wawili.Na ndio maana si rahisi sana kuwajua mpaaka utafute weee na tochi ndio uone.

Mchezaji mzuri hana tofauti na kufanya ngono chumbani halafu mimba tunaona jamii nzima.

Next year nikimaanisha msimu huu Ronaldo afanye yake naye mwakani anachukua.Wapaka mipira rangi waendelee kusubiri huruma za wana humu na vilio vilio ili wapate huko mbeleni.


Watabaki kuwa icon daima hawa jamaa.FIFA wanaelewa sana mchango wa hawa washikaji wawili.


Kama vipi tukakate rufaa huko mbele ....
 
Yaani umenifanya nicheka sana comment hii, big up!
Barcelona au juve zikifungwa amefungwa messi na Ronaldo afu Liverpool akifungwa amefungwa Liverpool[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hahahahahahahahahahahahahahahaha
 

LEO10 LAST SEASON 2018-2019
Europe top scorerπŸ‘
Barcelona top scorerπŸ‘
Champions league top scorerπŸ‘
La liga top scorerπŸ‘
Barcelona most assistsπŸ‘
La liga most assistsπŸ‘
Most La liga MOTM AwardsπŸ‘
Most UCL MOTM AwardsπŸ‘
Most chances createdπŸ‘
Most goal contributions in the top 5 leaguesπŸ‘
Most points won for his team in the top 5 leaguesπŸ‘
Most free-kick goalsπŸ‘
Most bracesπŸ‘
Most hat-tricksπŸ‘
Top scorer & Top 6 EPL teamsπŸ‘
Contibuted to 74/96 team goalsπŸ‘
UCL most man of the weekπŸ‘
UCL best fowardπŸ‘
UCL goal of the tournamentπŸ‘
Pichichi award (La liga golden shoe)πŸ‘
6th European golden shoe 2019 (record)πŸ‘
Most goals outside boxπŸ‘
La liga MVPπŸ‘

ESPY Best international Men's soccer player of the yearπŸ‘


Mjomba unalalamika sana...yupi unaona aliestahili kupewa? Ebu tuwekee basi individual performance zake hapa tujiridhishe!
 



Wabongo tushawazoea kamanda...mti wenye matunda siku zote hupigwa mawe πŸ˜€ πŸ˜€
 
Yaani umenifanya nicheka sana comment hii, big up!
Barcelona au juve zikifungwa amefungwa messi na Ronaldo afu Liverpool akifungwa amefungwa Liverpool[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Bwana wee kuna mambo ujue weusi tunazingua sana.
Ukisoma ujuaji wa humu nakueleza Taifa Stars mpaka sasa ingekuwa na makombe kibao ..hizi club zetu nazo kila ambacho wangeshiriki basi tungeshinda.
Lakini taswira zetu ndio hizi unazoziona humu ndani.
Sie kila siku visingizio viiingi....
 
Wabongo tushawazoea kamanda...mti wenye matunda siku zote hupigwa mawe πŸ˜€ πŸ˜€
Jinsi roho zetu zilivyo pana zaidi hahaha...wamefungua na uzi mwingine wanaulizana utofauti wa balon d or na fifa world player of the year

Jinsi tulivyo na roho pana kuna uzi mmoja kuna mtu alimchambua yule mtanzania mwenzetu Samatta wacha kabisa.
Nawashauri tujipange kuanzisha tuzo tofauti na FIFA ili tuwape wakwetu na sie.
 

Mkuu thanks kwa huu mchango wako, toka juzi usiku tunajaribu watu kuwapa elimu humu ila bado hawatuelewi, mimi nimeamua tu bora niwaangalie tu jinsi wanavyotokwa na mapovu labda wanaweza badilisha kitu kwa mtazamo wao.
 

Sijajua bado unachobishania hapa ni nini, Mkuu tuzo zimeshatolewa na matokeo yameshatolewa tayari, waliopiga kura wao wameshafanya kazi yao na mshindi ameshapewa tuzo yake.

Kwako wewe, lawama unataka kuzipeleka fifa ili iweje? Mtafute captain wako wa team ya taifa na kocha wako afu mpe hizi lawama zako.
 

Sawa kijana wa zamani mwenye uelewa mkubwa wa soka na ndio maana mpira mliokuwa mnacheza ulikuwa wa hovyo sana na hauna sheria kali kama za sasa.

Endelea kukaa hivyo hivyo kizamani, siku ukistuka utakuta wa kisasa wamekuacha maili 300 kwa hii mitazamo yako.

Mpira wa kisasa ni mchezo wa namba na ndio maana wachezaji wanapimwa ubora wao kwa namba na sio vyenga tena na kumbuka namba hazidanganyi hata siku moja.
 

Hawa jamaa hawana hoja za msingi, ukiwauliza wanataka VVD apewe mchezaji bora wa dunia kwa lipi? Wengi wao watasema kwakuwa kabeba uefa, wanasahau kama makombe basi alisson becker kabeba uefa na copa america na kwanini asipewe yeye.

Tukiwaletea takwimu za Messi na kuwaambia walete takwimu za VVD hawafanyi hivyo na wanabaki wakilalama tu.

Beki kumpa uchezaji bora wa dunia kwa mpira wa kisasa ni ngumu sana kwakuwa mpira wa kisasa ni mchezo wa namba.

Haiwezekani mtu aliekimbia kilometre 8 dani ya dakika 90 alinganishwe na mtu aliekimbia kilometre 3 ndani ya dakika 90 na ndio maana hata mishahara yao mabeki na makipa si mikubwa sana kulinganisha na wachezaji wenzao, kazi wanayofanya washambuliaji na viungo ni ngumu sana na wanastahili kupata kile wanachopata.
 
Haha boss umenifanya niangue kicheko asbh asbh


Akitwaa Messi inakuwa tatizo kwao, na kupelekea kusema "FIFA ni genge la wahuni" πŸ˜ƒπŸ˜€ Mara oh tuzo za siku hizi zimepoteza mvuto...but akitwaa another player wala hamna shida πŸ˜ƒπŸ˜ƒkosa atwae La purga tu povu linawatoka hawa wajomba....umasikini pia unachangia huu ujinga..
 
Kabisa aseee Tanzania au Africa hatuna ujuzi wowpte kuhusu maswala yanayohusu mpira ndiyo maana tunakuwa vinara wa kubisha bisha tu...
 

Haya jamani mambo tayari yameanza

https://www.football-italia.net/144600/fifa-best-messi-votes-falsified

https://africa.espn.com/football/ba...si-the-best-vote-fix-claims-fifa-issue-denial
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…