adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,152
- 4,843
Kitu pekee nachojua mpaka sasa kati ya Messi na Ronaldo.Ni hii UEFA iliyoanza.
Team wanazocheza zitakapozingua matokeo.Huwa wanatajwa watu wawili tu humu...
MESSI kazingua
Ronaldo kazingua..
Halafu unakuja kusikia hapa kelele kibao kuhusu hawa watu wawili.Miaka hii ya karibuni sijawahi sikia majina yenye pilika mingi mno kama haya mawili.
FIFA inawapa mnachopenda bado mnalalamika.
Watu mpaka wanapasuana na vyupa ukianza ubishi wa Messi na Ronaldo...
wacha wapewe tuzo hizo mpaka wafe...wengine wasubiri kwanza muda wao.Wajikaze......hao jamaa wanahangaikia familia zao eti.