The Best FIFA Football Awards 2019: Messi atwaa tuzo ya Mchezaji bora, Klopp awa Kocha bora

De jong
Modric
Marcelo
Ramos
Kwenye kikosi bora cha mwaka wanafanya nini humo..?
Eriksen
Robertson
B.Silva
Mane ... wamehuniwa hawa watu.
Mkuu kweli hadi De jong unamashaka juu ya uwepo wake hapo?
 
Hivi nyie mnaoilaumu FIFA kwa Messi kutwaa Ballon, naomba mnieleweshe;Kura walipiga maofisa wa FIFA au manahodha wa timu za taifa? Maana kama tujuavyo sote, hata huyo VVD wa Liverpool kampigia kura Leo Messi.Kama Van Djik kamkubali Messi,wewe ni nani kupinga?
 
This Messi thing akapenchingwana!

Hakuna cha virgin deki wala Renata, soka lina mguu wake bana. Kura wamepiga makapteni na makocha, lawama zinaenda FIFA, kwanini mnafananisha hiyo tuzo na uchaguzi wa Tanzania?
 
pale mngoni anapojaribu kuchambua mpira
 
Na ndio maana nimesema kama vigezo ni UEFA sasa iweje UEFA hawakumpa Messi mchezaji bora ulaya. Kuna siku nimemsikia Klop akisema huwezi kuwa bora Ulaya halafu unasikia watu wanasema Man city bora duniani. Messi ni mchezaji mzuri tena sana wa kiwango cha kipekee. swali ni vipi asiwe bora Ulaya halafu akawa duniani?? hivi vigezo vinautata sana mwaka jana alikuwa Modric kwani alifunga magoal mangapi?
 
Kama hizo statistics hazikushawishi kuwa La pulga ni bora basi haumpendi binafsi na sio professionally
nashindwa kueleweka, Mimi naamini kabisa hakuna mchezaji kama Messi kwa miaka aliyocheza na wala siamini kama Ronaldo anamshinda Messi ila hivi vigezo leo mnatoa sababu Messi je mwaka jana Modric ni vigezo gani?? mfungaji bora, assist nyingi au kushinda UEFA
 
Ronaldo funs mna shida sana

Liverpool funs hata hawalalamiki na isitoshe VVD amempigia kura Messi sasa wewe mtu Ubungo kibangu unalalamika nini?
Mimi nadhani ungeacha kuni quote sababu matusi sio sehemu yake ni hoja tu maana navyojuwa mimi hunijui lakini pia watu wanaoishi Ubungo pia ni watu kama wewe tu. ila ajabu huyu wa ubungo hatukani wa kukushifu wewe wa Masaki unatukana na kejeli ndio utajuwa nafasi yako.
 
wewe simbilisi...tuzo za uefa zinafocus kwenye performance za europa league na uefa champions league
 
pale mngoni anapojaribu kuchambua mpira
Huwa nashangaa watu badala ya kuleta hoja wanaleta dharau kwa baadhi ya makabila hiyo inaonesha ni mtu wa aina gani. hayo ni maoni yangu na wewe unaweza kuwa na yako sasa hayo ya Mngoni una issue zako binafsi maana navyojuwa ni watu kama wewe tu
 
Hongera sana mess ata kama haupo umu Jf.

Fifa wameona ni bora kwa mwaka huu na wamekupa tuzo.

Wavimba macho wa kibongo tukomae na kichwa cha mwendawazimu wetu tusilalamikie wanao jua nn maana ya mpira, team Ronald kaa pembeni
 

Mkuu, ngoja nikuulize swali dogo kabisa, Je kwa mtazamo wako wewe unaona mchezaji tumpe tuzo kwa overall perfomance yake ya msimu mzima au tumpe tuzo kulingana na makombe aliochukua ndani ya msimu mzima?

Tafadhari sana naomba unijibu bila ya maelezo meeeengiiii
 
mkuu mtu yuko zake uyole mbeya eti nae anapinga "atomica la pulga"kupewa tuzo...wakati hajui ata utaratibu wa mshindi anavopatikana
 
Makosa walifanya UEFA kwa kumpa VVD badala ya MESSI.
 

Hebu acha mambo yako, tunaongelea msimu uliopita hapa, kati ya VVD na La Pulga nani kwako alikuwa na overall perfomance kubwa than mwenzake?
 
Makosa walifanya UEFA kwa kumpa VVD badala ya MESSI.

Mkuu, inawezekana walikosea kama waliangalia overall perfomance ya mchezaji kwa msimu mzima wa mashindano yote ya barani ulaya na inawezekana hawakukosea kama waliangalia only uefa champions league na europa league.
 
nitakuwa muongo nikisema najuwa jibu la moja kwa moja. Na hata ukienda huko watu kama Lineker kuna mabishano yanaendelea vigezo ni nini? maana league kubwa sio kama France au Portugal. tuseme UEFA maana kwa miaka ndio imekuwa vigezo. 2016, 2017, 2018 walishinda Ronaldo na Modric lakini sio kwamba Messi alikuwa hayuko vizuri iweje 2019 sio UEFA kama kigezo
 

Uefa kama waliangalia perfomance ya kwenye mashindano ya vilabu, i mean champions league na europa league anastahili japo napo kuna ukakasi kwangu mimi kuz Sadio Mane alistahili kuliko VVD ila kama waliangalia mashindano yote kwa msimu mzima basi walichemka vibaya mno kumpa VVD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…